Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,300
Correct! Mbeya ni ulimwengu mwingine kabisa out of spaceNadhani hili ni la watu wa mbeya zaidi kuliko waislam
Correct! Mbeya ni ulimwengu mwingine kabisa out of spaceNadhani hili ni la watu wa mbeya zaidi kuliko waislam
Ostadh nineno lakiarabu kiswahili chake ni mwalimu wa chuo kikuu au maarufu wahaadhiliHii picha namuona Ostadh yupo kiwandani anaunda majini"
Ntumie namba yake aniuzie jini moja kuna pimbi ananizingua sana kitaa
Upo sahihi kabisaOstadh nineno lakiarabu kiswahili chake ni mwalimu wa chuo kikuu au maarufu wahaadhili
Mrembo, baba yako ni sheikh?, nitaka niku-followMbona hatarioius
Kila siku tunasema hii dini siyo yenyewe watu hawaelewi, angalia sasa wanajihusisha na uchawi
Sijawahi kumwona kiongozi wa dini ya Rc Mchawi.... Huyu ni kiongozi mkubwa sana Shekhe? Halafu anakuwa mchawi halafu tofautisha waumini wa dini na kiongozi sasa huyu Shekhe siyo muumini ni kiongozi mchawi....Hivi kuna dini gani duniani ambayo haina waumini wachawi?.
Duuh science yetu ipo vizuri sana
Mbeya unafananisha na wapi,sema kwanza wewe ulipo?Nyie watu wa Mbeya ni wachawi sio scientists!!! Science inasaidia maendeleo ya jamii lakini nyie mnadidimiza maendeleo!!
Mbeya unafananisha na wapi,sema kwanza wewe ulipo?
Hata gerezani wapo wanaotoka kwa uchawiuongo mtupu km mtu anaweza toa nyeti za mtu mwngne atashndwaje toa wenzake gerezan