Mbeya: Mtuhumiwa adai nyeti zake kutoweka baada ya kudharau onyo la Shekhe la kutembea na bintiye

Hii picha namuona Ostadh yupo kiwandani anaunda majini"
Ntumie namba yake aniuzie jini moja kuna pimbi ananizingua sana kitaa
Ostadh nineno lakiarabu kiswahili chake ni mwalimu wa chuo kikuu au maarufu wahaadhili
 
Hivi kuna dini gani duniani ambayo haina waumini wachawi?.
Sijawahi kumwona kiongozi wa dini ya Rc Mchawi.... Huyu ni kiongozi mkubwa sana Shekhe? Halafu anakuwa mchawi halafu tofautisha waumini wa dini na kiongozi sasa huyu Shekhe siyo muumini ni kiongozi mchawi....
 
Back
Top Bottom