Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

nimechinja mtu kituo cha miembeni kata ya saza jimbo la songwe kwa mulugo
 
atokeo ya awali

Tarime vijijini
Nyamwaga
Kituo makerero1
Cdm 164
CCM 54
Mambo yameanza kwa UBUNGE
‪#‎UPANGA‬ Lowasa378, Magufuli 21
Vingunguti A: urais ccm 27 CDM 401, Act 10....
Kituo. Mbagala rangitatu
1. Lowasa 2548
2. Magufuli 132
3. Mgwira 32
4. Rungwe 6
zilizoharibika 11
Matokeo ngorongoro kituo cha oldupai lowasa 220,magufuli 0, ubunge Ngorisa chadema 196, Nasha ccm 31 .
Kituo cha makerero2
Nyamwaga
Raisi
Cdm 132
CCM 59
Mbunge
Cdm 140
CCM 50
[25/10/2015 18:01] +255 753 142 630: Tarime vijijini
Nyamwaga
Kituo makerero1
Cdm 164
CCM 54
SIMANJIRO kinaitwa Emeregesh matokeo ni: LOWASSA 520, Magufuli 72, Ubunge MILLYA 501, SENDEKA 76ccm
Kimandolu kata nzima
Lowasa 7,698
Makifuli 139
Hatari kabisaaaa
Arumer mashariki
Shule yasingi Moivaro
Kituo no.2
RAIS
CCM- 62
CDM- 314
ACT-02
Zilizoharibika -01
ADC-01
Jumla 383
[19:03, 25/10/2015] +255 718 566 969: Emeregesh matokeo LOWASSA 520, Magufuli 72, Ubunge MILLYA 501, SENDEKA 76.
Songea kituo cha chekechea cdm 168 ccm 151
[19:03, 25/10/2015] +255 718 566 969: Kawe sec 3
Idadi ya wapiga kura 360.
Lowasaa 297
Magufuli 36
Anna 11
Hashim Rungwe 5
Zilizo halibika 11
Shule ya msingi kiranyi kituoB-2 urais ccm 84 chadema 239 chauma 1 jumla ya kura zote zilizo pigwa ni 327
[19:04, 25/10/2015] +255 718 566 969: Kawe sec 3
Idadi ya wapiga kura 360.
Lowasaa 297
Magufuli 36
Anna 11
Hashim Rungwe 5
Zilizo halibika 11
Shule ya msingi kiranyi kituoB-2 urais ccm 84 chadema 239 chauma 1 jumla ya kura zote zilizo pigwa ni 327
Viingunguti a
Lowassa 407
Magufuli 27
Act 10
Bonyokwa A1 lowasa 141
Magufuli 115
Kuharibika 3
Arumer mashariki
Shule yasingi Ambureni
Kituo no.3
RAIS
CCM- 42
CDM- 288
CHAUMA -1
Zilizoharibika -3
Kata ya Olasiti, Mtaa wa Olkereyan:
Kituo no: 7
Urais:
Magufuli - 106
Lowassa - 168
Udiwani:
ACT - 9
CCM - 102
CDM - 162
Kituo no: 5
Urais:
Magufuli - 130
Lowassa - 190
Udiwani:
ACT - 0
CCM - 114
CDM - 203
Kata ya Olasiti, Mtaa Kimindoros:
Kituo no 4:
Udiwani:
CDM - 229
CCM - 80
Urais:
Lowassa - 215
Magufuli - 97
Sura ya matokeo ishaanza kujidhihirisha.
Masaki ccm212, cdm 724,
Msasani ccm421 cdm 670
Tanganyika packers ccm311 cdm1419
Bunju ccm217 cdm2100
Namanga ccm 59 cdm 3114
Msasan bondeni ccm1114 cdm3515
Kituo cha ‪#‎Igodivaha‬ Njombe Tanzania ‪#‎Lowassa‬ amepata kura568 na Magufuli amepata 39
Kituo ILO A
Lowassa=234
Magufuli=37
UBUNGE
Kalanga 231
Namelock =44
ILO B
LOWASSA=223
Magufuli =53
UBUNGE
Kalanga =210
Namelock=61
USIONDOKE NALETA ZINGINE
kituo cha chang'andu mombo tanga
lowassa 96
magufuli 46
kituo cha kwa sunga mombo
lowassa 195
magufuli 108
tunaendelea kupokea matokeo
Masasi kituo cha kisiwani Kata ya mkuti..
Lowassa 173
Magufuli 110


Kiongozi acha unyoko basi! Hapa umeambiwa ni kwa ajili ya matokeo ya Mbeya wewe unaweka uchafu wako hapa?
 
Pale Luanda Nzovwe ambapo kuna wapiga kura wengi Sugu kang'ara na EL, sijui vituo vingine
 
UPDATES ZA UCHAGUZI KYELA: UDIWANI
Taarifa nyingi hazikamlika kwenye vituo, kwa matokeo ya awali kwa vituo vichache tulivyotembelea:

1. Mikoroshoni CDM inaongoza,
2. K/songwe CCM inaongoza
3. Bondeni CDM inaongoza
4. Serengeti CCM inaongoza
5. Itunge CDM inaongoza
6. Kyela mjini CDM inaongoza
7. mbugani CDM inaongoza
8. Mwanganyanga CDM inaongoza

NB: Haya ni matokeo ya awali kwa vituo tulivyo vitembelea; matokeo ya jumla yanaweza kubadilika.
 
Mbeya, usiku huu vijana waemwagika mabarabarani wakishigilia kazi njema yavichinjio vyao, Edo. na Sugu wameyatimulia mavumbi maccm karibu vituo vyote ambavyo matokeo yake yamebandikwa.

Safi sana. Viva Mbeya.
 
nasikia ccm wameshinda itiji na nsoho. cdm nao nasikia wameshinda iyunga, isanga, ghana, sisimba, mabatini, forest na nzovwe. taarifa zinasema cdm 12, ccm 2. kuna kata 36.
 
Back
Top Bottom