Mbeya: Marufuku DVD na Kanda nyingine za Kukashifu Dini

Mbeya: Marufuku DVD na Kanda nyingine za Kukashifu Dini

Status
Not open for further replies.
Kusema kuwa ukristo ni dini ya mabavu bila hoja na uislamu ndio dini ya hoja bila mabavu, ni lazima uwe mwendawazimu, La basi mapepo(majini/mashetani) yatakuwa yamekujaa kichwani na ndio yanayoongea na wala sio wewe.
Kwani hii dini ya ukiristo imekaa kiuchiuchi? Mpaka waislamu wote wanaikashifu, huko mbeya nadhani hao viongozi wamekosa macho wanangalia kwa visigino vya miguu.

Hebu someni hapa nyinyi viongozi wa mkoa wa mbeya:


WAKRISTO WAACHE KUTULETEA POROJO ZAO ZA KANISANI,ukristo ni dini ya kusadikika isiyo ya Mungu,UKRISTO NDIO DINI INAYOENDESHWA KWA MABAVU DUNIANI KUTOKANA NA KUTOKUWA NA HOJA ZA WAZI ZA KUWAVUTIA WATU,kitabu cha Biblia kimeshindwa kuulinda Ukristo kama ilivyo Qurani tukufu,HAKUNA MTUME ALIYETOKEA BARA LA ULAYA,ajabu wazungu ndio wanaoueneza Ukristo je dini wameitoa wapi?NDIO SABABU YA KUMTUMIA MUISRAELI ILI AUSHIKILIE MJI ALIOZALIWA YESU WA JERUSALEMU,wangekwenda kuhiji wapi kama waislaamu usipokamatwa mji ule wa Waarabu wa kipalestina?HAKUNA YEYOTE HUMU ANAYEUFAHAMU UKRISTO NI KITU GANI?kila anayeufuata anafuata mkumbo tu na asiyeelewa wapi anapokwenda.UISLAAMU UNATEGEMEA HOJA,wakristo wanategemea nguvu za dola za kikafiri ili dini yao iendelee kuwepo.
 
hii marufuku naomba ifike na pale mwanza mtaa wa msikiti wa ijumaa mjini kati.kuna wauza cd wameweka na tv wanaweka hizo cd watu wanajazana pale kusikiliza huo uchochezi!
 
safi kweli. Mbeya wameonyesha njia. Hii itapunguza na hatimaye kuondoa upandikizaji wa chuki na hasira baina ya dini nchini
 
Kwani hii dini ya ukiristo imekaa kiuchiuchi? Mpaka waislamu wote wanaikashifu, huko mbeya nadhani hao viongozi wamekosa macho wanangalia kwa visigino vya miguu.

Hebu someni hapa nyinyi viongozi wa mkoa wa mbeya:


WAKRISTO WAACHE KUTULETEA POROJO ZAO ZA KANISANI,ukristo ni dini ya kusadikika isiyo ya Mungu,UKRISTO NDIO DINI INAYOENDESHWA KWA MABAVU DUNIANI KUTOKANA NA KUTOKUWA NA HOJA ZA WAZI ZA KUWAVUTIA WATU,kitabu cha Biblia kimeshindwa kuulinda Ukristo kama ilivyo Qurani tukufu,HAKUNA MTUME ALIYETOKEA BARA LA ULAYA,ajabu wazungu ndio wanaoueneza Ukristo je dini wameitoa wapi?NDIO SABABU YA KUMTUMIA MUISRAELI ILI AUSHIKILIE MJI ALIOZALIWA YESU WA JERUSALEMU,wangekwenda kuhiji wapi kama waislaamu usipokamatwa mji ule wa Waarabu wa kipalestina?HAKUNA YEYOTE HUMU ANAYEUFAHAMU UKRISTO NI KITU GANI?kila anayeufuata anafuata mkumbo tu na asiyeelewa wapi anapokwenda.UISLAAMU UNATEGEMEA HOJA,wakristo wanategemea nguvu za dola za kikafiri ili dini yao iendelee kuwepo.

kwanini ukitaka kuujua uislam lazima ujue kusoma kiarabu na kuandika kiarabu na usali kwa kiarabu kwani Mungu wenu ni mwarabu?na kwanini usali kuelekea kibla ina maana Mungu yupo kibla?
pili tofauti ya viongozi wa kikristo na kiislam,maaskofu na wachungaji wengi ni dr ili hali masheh wengi ni srd seven kwa hiyo kwenye kufundisha lazima muwe na tabia mlizo nazo za ubaguzi kwamba mkristo ndio adui yenu wakati wakristo adui yao ni shetani
 
Safi sana Mbeya. Tukipata wakuu wa mikoa kama hawa laki tatu Tanzania inawezekana bila udini.
Kila mtu na akae kwake aabudu anachoona sawa na sio kuingiliana. Hata mabucha kila mtu awe nalo la kwake. Kama ni Buddha haya, Hindu haya, Muslims haya, Pagani haya. Ili mradi tuwe na harmony.
Natamani sana nao wakristo waanze kuchinja na kuuza kivyao vyao.
 
By Elungata
Kukashifu dini za wengine ndo kupi huko.?.
Au ukisema yesu sio mungu ndo umekashifu dini ya mtu mwingine?

Usiseme Yesu siyo Mungu bali sema Issa siyo Mungu. Hii ni kwa sababu katika Qu'an hakuna neno Yesu. Ninaelezwa kuwa Jina Yesu katika Biblia ni sawa na Issa bin mariam katika Qur'an. Kwa vile haya ni mambo ya imani hakuna haja ya kuyalinganisha majina haya. Kila mmoja atumie jina kama linavyoandikwa katika kitabu chake kitakatifu. Sasa Muislamu akianza kutangaza kuwa Yesu siyo Mungu wakati kitabu chake hakina neno Yesu huko ni kuukashifu Ukristo na kuwaudhi Wakristu. Vile vile Mkristu akianza kumuelezea Muhamad kwa njia hasi wakati jina hilo halimo katika Biblia anafanya uchokozi na atawaudhi Waislamu. Kwa vile Qur'an inasema Issa bin Mariam siyo Mungu waendelee tu kusema hayo ili mradi wasitumie jina la Yesu. Ili kudumisha amani tuliyokuwa nayo basi Waislamu waache kulitaja jina la Yesu bali Issa. Wakristu pia wasimtaje mtume wa Waislamu kwani hawahusu. Waislamu wakisema Issa bin mariam hakusulubiwa hakutakuwa na tatizo. Hakuna faida yoyote kwa kujaribu kulazimisha kuwa Yesu ndiye Issa bin Mariam.

Kila mmoja atambue kuwa hakuna dini iliyobora kuliko nyingine. Dunia hii haina Wakristu na Waislamu tu. Wapo wanaoamini dini nyingine kama vile Wahindu, Wabudha, dini za kiasili na pia wapo Wasioamini uwepo wa Mungu. Idadi ya watu wasioamini dini yoyote ni kubwa na inazidi kuongezeka kadri sayansi inavyozidi kutoa majibu ya matatizo ya mwanadamu na hali ya uchumi ya raia wengi inavyozidi kuwa bora. Zipo dini zenye kuamini Miungu wengi. Hakuna dini iliyo na haki ya kuinyooshea dini nyingine kuwa ni ya kweli au ya uongo. Ukiwakusanya watu (magwiji au guru) wenye elimu kubwa ya dini kutoka mataifa yote ya dunia na kuwaambia wajadili mada kuhusu ni dini gani ya kweli hawatakuwa na jibu moja (unanimous). Wanadamu wote tangu kale kabisa kabla hata ya kuwepo kwa dini ya kiyahudi waliamini juu ya uwepo wa mamlaka yasiyoonekana ambayo ni asili ya yote yaonekanayo na yasiyoonekana. Hivyo basi wanadamu kutoka pembe zote za duni na kwa nyakati mbalimbali waliamini uwepo wa mamlaka kubwa zaidi iliyoongoza kila kitu. Dini za siku hizi zilizishinda hizi za awali si kwa kuwa zilikuwa na ukweli zaidi bali zilikuwa na mbinu bora zaidi za kujieneza. Mimi naziona dini za sasa ni sawa na za wale waabuduo chini ya mti mkubwa au chini ya jiwe au kitu chochote kisicho cha kawaida.

Kila mmoja anayehubiri dini yake ni lazima ajiulize je maneno ninayoyatumia yanamwudhi mtu mwingine au hapana. Usimtendee mtu mwingine jambo ambalo wewe usingependa mtu mwingine akutendee. Huu ndiyo upendo alioujenga na kutuachia Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere.


Mimi sioni sababu ya Watanzania kutoelewana kwa sababu watu wanalazimishana kwenda mbinguni. Ni kwa nini wewe mchungaji au shehe unataka kuwalazimisha watu kwenda mbinguni kwa kuanzisha kashfa na mashambulizi dhidi ya dini nyingine. Kila mmoja aongeze bidii binafsi na atafika huko mbinguni (kama kweli hiyo mbingu ipo). Kama sikosei dini zote zinadai kuwa kila mmoja atapata ujira wake kadri alivyoishi hapa na si kwamba haki itatolewa kwa kikundi. Nafahamu wapo watakaoniambia kuwa kujaribu kuwashawishi na kuwalazimisha wengine kuamini unayoyaamini kuna thawabu kubwa mbinguni. Dhana ya namna hii ni mbaya na itazidi kutuletea matatizo. Tujizuie kuwa watu binafsi. Hatutokuwa tofauti na nguruwe au wanyama. Nguruwe wanapokula hawaishi kugombana na kusukumana.

Msumbachika
 
Huwa namuaminia sana Abbasi Kandoro, ni mtu anayetumia akili sana. Alipokuwa DSM alikuwa akisolve matatizo kirahisi kabisa, tena kwa ushirikishi.

Na kwa vile kwao si mbali na Mbeya, huyu mtu anatufaa sana.

Aliyetoa tamko hilo ni kaimu mkuu wa mkoa wqa Mbeya kwa sasa Dr.Norman Sigalla ambaye ni mkuu wa wilaya ya Mbeya
 
Kwani hii dini ya ukiristo imekaa kiuchiuchi? Mpaka waislamu wote wanaikashifu, huko mbeya nadhani hao viongozi wamekosa macho wanangalia kwa visigino vya miguu.

Hebu someni hapa nyinyi viongozi wa mkoa wa mbeya:


WAKRISTO WAACHE KUTULETEA POROJO ZAO ZA KANISANI,ukristo ni dini ya kusadikika isiyo ya Mungu,UKRISTO NDIO DINI INAYOENDESHWA KWA MABAVU DUNIANI KUTOKANA NA KUTOKUWA NA HOJA ZA WAZI ZA KUWAVUTIA WATU,kitabu cha Biblia kimeshindwa kuulinda Ukristo kama ilivyo Qurani tukufu,HAKUNA MTUME ALIYETOKEA BARA LA ULAYA,ajabu wazungu ndio wanaoueneza Ukristo je dini wameitoa wapi?NDIO SABABU YA KUMTUMIA MUISRAELI ILI AUSHIKILIE MJI ALIOZALIWA YESU WA JERUSALEMU,wangekwenda kuhiji wapi kama waislaamu usipokamatwa mji ule wa Waarabu wa kipalestina?HAKUNA YEYOTE HUMU ANAYEUFAHAMU UKRISTO NI KITU GANI?kila anayeufuata anafuata mkumbo tu na asiyeelewa wapi anapokwenda.UISLAAMU UNATEGEMEA HOJA,wakristo wanategemea nguvu za dola za kikafiri ili dini yao iendelee kuwepo.
Allah ni mungu wakipagani anayepotopsha mamia ya waislamu duniani mbona husemi kwamba unaamini katika Mungu ambaye mnafiki,mwuaji,mfitini na kibaraka wa shetani?Unaparamia dini ambayo hata mtume wako anaiabudu au hufahamu kwamba mtume ni muumini wa kikristo na kiyahudi...Umekalia kufuga ndevu tu,fuga na akili ili utambue kwamba allah sio mungu ila amehadaa watu fulani ili kupora ibada ya Mungu Baba Mwenyezi ili aabudiwe yeye kwa damu na machafuko huku akiwajaza ubishi na ujinga mateka wake na kusababisha mauaji duniani kote....Huna akili yakukuongoza kwenye ibada ya Mungu wa Kweli
 
Kukashifu dini za wengine ndo kupi huko.?.
Au ukisema yesu sio mungu ndo umekashifu dini ya mtu mwingine?

Ni kweli kwa Mkristo hiyo kwake ni kashfa ni kama Mkristo anavyo amini mudi alipewa utume na mapepo, Mkristo nae akihubiri hiyvyo tayari kwa mwislam hiyo ni kashfa, so nadhani ni busara kila mtu ahubiri uzuri wa imani yake badala ya kuingilia imani ya mtu mwingine! Waswahili wanasema Kibaya chajitembeza while kizuri cha jiuza!
 
Tunaomba na Mkuu wa Mkoa wa Pwani na wewe toa Tamko pia..hapa Ikwiriri Rufiji ikifika jioni kuna watu waafunga Spika kwenye maduka yao na kuweka CD za kukashifu dini za wenzao..na kiukweli hapa napenda kuchuka nafasi hii kuwashukuru wale wadini nyingine kwa kuwa wavumilivu sn kwani wangesema nao walipize kisasi..hali ingekuwa mbaya sn..
 
Kukashifu dini za wengine ndo kupi huko.?.
Au ukisema yesu sio mungu ndo umekashifu dini ya mtu mwingine?

Ukisema mohamd siyo mtume wa mungu na kwamba ni mjanja mjanja na muoaji kwa sana.

 
Kukashifu dini za wengine ndo kupi huko.?.
Au ukisema yesu sio mungu ndo umekashifu dini ya mtu mwingine?

Hayo yangefundishwa ndani ya nyumba za Ibada na kusikilizwa na wanaopenda kusikiliza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom