Viongozi watauawa sanaJaman hizi chaguzi zinamaliza hela.
Ni bora washindi wapili wao kipindi cha uchaguzi wapewe vijiti wamalizie muda uliobaki. Madaraja huku hatupewi wala madai yetu kazi mauchaguzi tu yasioisha.
Wanasiasa ni wabinafsi sana aiseh
Usijali wagombea wa CCM watapitishwa bila kupingwa. Ndo staili mpya kwa sasaJaman hizi chaguzi zinamaliza hela.
Ni bora washindi wapili wao kipindi cha uchaguzi wapewe vijiti wamalizie muda uliobaki. Madaraja huku hatupewi wala madai yetu kazi mauchaguzi tu yasioisha.
Wanasiasa ni wabinafsi sana aiseh
Aliyevuliwa uanachama ni Geofrey Kajigili wa Sisimba(hata barua ya yeye kuondolewa imesambaa mtandaoni)..Hakuna barua ya kuwavua uanachama Ngalawa na Mwatujobe..Hao wengine ni uzushi..Hata huyo Kajigili hakuna kikao cha chama kilichoazimia kuwavua uanachama..Ni utashi/maelekezo ya mtu mmoja tu...Jaman hizi chaguzi zinamaliza hela.
Ni bora washindi wapili wao kipindi cha uchaguzi wapewe vijiti wamalizie muda uliobaki. Madaraja huku hatupewi wala madai yetu kazi mauchaguzi tu yasioisha.
Wanasiasa ni wabinafsi sana aiseh
Ningeshangaa sana ka chadema ingewaacha hawa wapuuzi , safi sana chademaMadiwani watatu wa Chadema mjini Mbeya, katika Kata ya Manga (Newton Mwatujobe), Sisimba (Geofrey Kagili) na Kata ya Lwambi (Humphrey Ngalawa), wamevuliwa uanachama wa chama hicho
Sababu zilizotolewa ni utovu wa nidhamu na kukiuka taratibu za chama hicho
Kajigili ni mshamba na mchumia tumbo wa hatari sana ! kapewa bia mbili tu na Dr Tulia kasahau tulikomuokota na kumpa udiwani , fukuza kabisa huyoAfadhali, maana walikokuwa wanaelekea na kujivua na kudai wanamuunga Mkono Jiwe!
Kajigili hata mimi mwenyewe ningemvua uanachama , Msaliti kama yule katika kipindi kama hiki ambacho chadema inatendewa unyama ambao haumo hata kwenye filamu ya Sarafina , unawezaje kushirikiana na ccm ?Aliyevuliwa uanachama ni Geofrey Kajigili wa Sisimba(hata barua ya yeye kuondolewa imesambaa mtandaoni)..Hakuna barua ya kuwavua uanachama Ngalawa na Mwatujobe..Hao wengine ni uzushi..Hata huyo Kajigili hakuna kikao cha chama kilichoazimia kuwavua uanachama..Ni utashi/maelekezo ya mtu mmoja tu...
Chadema jiji la Mbeya inaelekea kubomoka...
Kajigili ni mshamba na mchumia tumbo wa hatari sana ! kapewa bia mbili tu na Dr Tulia kasahau tulikomuokota na kumpa udiwani , fukuza kabisa huyo