vince carter
Member
- Mar 24, 2015
- 33
- 12
Bila kusahau MWAKABULUTU BUS SERVICEYalikuwepo kama kina bora imani, mwailubi bus, baby kapritan na father kapritan, sasa kazi yote haya yalikua mbalizi stand kuu
Post sent using JamiiForums mobile app
Bila kusahau kijiji cha ujamaa sansa.!Yalikuwepo kama kina bora imani, mwailubi bus, baby kapritan na father kapritan, sasa kazi yote haya yalikua mbalizi stand kuu
Post sent using JamiiForums mobile app
Na VUMILIA BUS.Bila kusahau MWAKABULUTU BUS SERVICE
Post sent using JamiiForums mobile app
Aisee....zamani sana
OBas AMbonisye KAtule!
una namba yake?Kulikuwa na pusher wa bangi huko Nonde. Ukitaka kuvuta bangi kwake utavuta bure hata gunia. Take away ndio unalipia. Jamaa alikuwa anaitwa Mswanga na alikuwa na stock ya kutosha kuvutisha vijana wote wa Mbeya kwa miaka minne bila kutetereka
Darasa moja nami, pale Azimio Primary School!
Hayo yalikuwa ni maneno ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya mh. Daniel Ole Njolaay....
nimefatilia kwa ukaribu uzi huu. naona maneno yaliyotawala zaidi ni haya: bob (marley), ganja, ubabe, jombi, kukaba, kubaka, vitisho, utemi, uchawi, doksi, pusha, magendo, kanitandika, kipigo, rushwa, machata etc. duuh. bado tuna kazi kubwa ya kukomboa taifa hili.
Umepanic...Kanywe chai kwanzaKakae na watu wa aina yako sisi humu hatutumii mashoga. Kila sehem unafatuta wanaume kwa nguvu
Pia kulikuwa na Bisso Ntepa, alisha fungwa mara kadhaa kwa ujambazi baadae akaokoka na kufungua kanisa lake DSM. Baadae akaachana na kanisa na kujiunga na bongo movie. Miaka minne nyuma nilimuona anaendesha daladala kubwaa