MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
Aisee nimekukumbuka ulikuwa rafiki yake kinjekitile ngombalemwilu, ruta na kazi, mimi nilikuwa rafiki wa hamidu na fredView attachment 536174Aladia Asegelisye Mwangomile kanitandika kweli,pale Azimio shule ya msingi! RIP CHIEEEEF!!
. Mapunda alikuwa anakaa GhanaKwa upande wa Soka kulukuwa na Hassan Zitto pale Tukuyu Stars,kulikuwa na timu kama Vasta,Town Stars,Rockers United,Roma Boys,Kifwamba,Ngasulwa na pia kulikuwa na refarii anaitwa Mapunda ,alikuwa anasifika sana kwa vipigo.
International unit ya kuchapa fimbo kwa sababu yeye anachapa watu wazima mpaka wanazimia tena ccm wenzake na hawamfungulii mashtaka wala hawalalamiki, na bado akapewa uspika na ccm.. Kwamba kwamba Ndugai amegeuka 'unit' ya bakora!
Baba Button maarufu baba BatoKulikuwa na mzee anaitwa Mwanjisi, hakuwahi kuwa daladala mpya barabarani halafu ruti zake zilikuwa majengo iyela
Umenikumbusha enzi za Kupiga mitungoUmenikumbusha mbali sana, sie ndo wale wahuni wa mamajoni,soweto mpaka blok T.
Bangi sana,kukaba sana kubaka sana. LAKINI YESU ALINIONA AKANIOKOA, NA SASA NAMUHUBILI KRISTO MWOKOZI.
Mie nilikuwa naishi nyuma ya nyumba ya Chihotaha ha mkuu kweli umekaa nonde. niambie nonde ipi mkuu mi ilikua mitaa ya msomba
Daaaa! Long time kweli! Kinjeketile (Kinje) alikuwa mtundu sana,tofauti na kaka yake Rutatanekwa (Ruta).Aisee nimekukumbuka ulikuwa rafiki yake kinjekitile ngombalemwilu, ruta na kazi, mimi nilikuwa rafiki wa hamidu na fred
Naona umeamua kubakia kwenye uzi wa Mbeya, natumaini kuna faida unapata, hata IQ yako itakua zaidi!Hayo yalikuwa ni maneno ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya mh. Daniel Ole Njolaay....
Majengo hiyo. Chihota alikuwa ni mzee wa ZimbabweM
Mie nilikuwa naishi nyuma ya nyumba ya Chihota
Aisee kumbe mwango alikufa, nasikia amidu yupo Msumbiji wanasema ni tajiri wa kutishaDaaaa! Long time kweli! Kinjeketile (Kinje) alikuwa mtundu sana,tofauti na kaka yake Rutatanekwa (Ruta).
Mwl Mwangomile (Chief) alifariki,kama sikosei mwaka 2012 Feb.Twaweza kuparurana humu,kumbe ni ndugu!
Mkuu kumbe tumesoma shule moja na darasa moja halafu ulikuwa rafiki yangu wa karibu sana, unamkumbuka Joseph ndimbo?, tulikuwa darasa moja na hamidu na amiduDaaaa! Long time kweli! Kinjeketile (Kinje) alikuwa mtundu sana,tofauti na kaka yake Rutatanekwa (Ruta).
Mwl Mwangomile (Chief) alifariki,kama sikosei mwaka 2012 Feb.Twaweza kuparurana humu,kumbe ni ndugu!
Kabisa kumbe unamfahamu vizuri Mwakasagule mie babu yangu yuleMajengo hiyo. Chihota alikuwa ni mzee wa Zimbabwe
BERN auDr Minja mkewe mzungu? Bado yupo yule mzee
Huyu ngwisa kwao ilikua sokomatola karibu na kiwanja mpaka.Nakumbuka enzi hizo Uncle Ngwisa Mapugilo,alikuwa mbabe hasa Mbeya manispaa walikataza kuchunga n'gombe pale makuburi ya Loleza,yeye akapeleka n'gombe,kuchunga akatumiwa polisi hii issue Nilishuhudia live aliwapiga na akaenda kuchukua shoka kufuata mifugo yake siku kadhaa mbele wakamkamata baada ya kupiga bomu la machozi sokomatola hiyo
Hahaha DCT email yangu ya kwanza nilifungulia pale, kweli kitamboDCT Karibu na NMB Mbalizi Road ndio sehemu za mwanzo kutoa huduma za computer na Internet! Tumelipia sana kucheza games in the late 1990s!