Mbeya long time kitambo

Vuruga vunja-isanga family, Hii Africa - mastiff, safari ya mifupa - K4S, kipande cha chupa-kabwe dust, majeshi mbele- Crack Soldier, condom - matola, ilwana hili-mashetani, crazy power, Adili, cave dwellers,
 
Umenikumbusha mbali sana, sie ndo wale wahuni wa mamajoni,soweto mpaka blok T.
Bangi sana,kukaba sana kubaka sana. LAKINI YESU ALINIONA AKANIOKOA, NA SASA NAMUHUBILI KRISTO MWOKOZI.
 
Hyo namba 13 ulikua inaitwa fonka
Ukikosea njia unajikuta umetokea hosputali ya rufaa tena wanapotolea maji machafu
Mambo mengine ukifikiria uliyoyafanya unaishia kucheka tu.
 
Enzi hizo chips zikiwa shs 100 maendeleo,sinde n.k,ANANIA anauza shs 150
 
Siku hizi Mbeya ni ya Wakinga na Waha
 
Kulikuwa na mzee anaitwa Mwanjisi, hakuwahi kuwa daladala mpya barabarani halafu ruti zake zilikuwa majengo iyela
Hahahah..huyu mzee mtata sana aisee,alafu dereva mwenyewe..

Mpaka sasa yupo kazeeka kinoma,nilikutana nae mwezi uliopita..
 
Nakumbuka kwenye Banda la Video pale kwa Imma maendeleo njia ya kwenda makunguru ndio ilikuwa Sebule yetu ile kuanzia watoto wa Sinde,Forest ,Manga ,Ilolo ,Mafiati
 
Kulikuwa na mzee anaitwa Mwanjisi, hakuwahi kuwa daladala mpya barabarani halafu ruti zake zilikuwa majengo iyela
Alikuwa mtata sana huyo mzee, kuna siku walikamata gari yake. Alichofanya ni kukusanya watoto wake akawapeleka polisi eti wawalishe sababu gari ndio linamwingizia pesa.
 
Nakumbuka kwenye Banda la Video pale kwa Imma maendeleo njia ya kwenda makunguru ndio ilikuwa Sebule yetu ile kuanzia watoto wa Sinde,Forest ,Manga ,Ilolo ,Mafiati
Kama na wewe umeangalia video kwa Ima pale Ilolo basi umetisha. Enzi hizo alikuwa na projector kubwa, na deki. Ndivyo alivyokuwa anatumia kuoneshea video
.
 
Afike mbali wapi?
Kwanza alikua wa rushwa sana
Mbili alikua mwizi balaaa na alifungwa miaka kadhaa nadhan ulikua 2000+ sikumbuki alifungwa miaka mingap
Kama alifungwa basi alitoka baadae mkuu, nazungumzia miaka ya karibuni kama minne iliyopita, tuliswali nae sana pale msikiti wa barabara ya 4 matola.
 
Kulikuwa na pusher wa bangi huko Nonde. Ukitaka kuvuta bangi kwake utavuta bure hata gunia. Take away ndio unalipia. Jamaa alikuwa anaitwa Mswanga na alikuwa na stock ya kutosha kuvutisha vijana wote wa Mbeya kwa miaka minne bila kutetereka
Shikamoo Bujibuji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…