Mbeya long time kitambo

Hyo namba 13 ulikua inaitwa fonka
Ukikosea njia unajikuta umetokea hosputali ya rufaa tena wanapotolea maji machafu
 
Mitaa ya Simike na Mabatini naikumbuka sana mkuu.
 
Hapo jirani na kwenu, kwa kina Makolija walikuwa na Linolino hapo kwa kina Max Nanyaro walikuwa na Nishio
Max yupo Kinondoni ana company inaitwa *imax*
Tukamuunge mkono jamani
 
Mi name calling natafsiri kama kumtukana mtu kwa kumpachika jina/ neno, sikujua kama imecover mpaka huku

Hata hivyo zile emoji zinaashiria ile ni utani
Hahaha sijui mkuu ila mods hawana utani kwenye sheria zao
 
Kulikuwa na kucheza madoyomba, kudaka Magh'ela kuna yanayouma tulikuwa tunayaita polisi(yalikuwa na rangi nyeupe na nyeusi) yale mekundu tulikuwa tunaamini hayaumi lakini sometimes unajichanganya unajikuta unapigwa mishale ya maana
ha ha mkuu kweli umekaa nonde. niambie nonde ipi mkuu mi ilikua mitaa ya msomba
 
Japo sipapendi Mbeya ila nabaki kumiss kusikia vituko vyao kama vile uchunaji ngozi watu, ushirikina wa hajabu, kulawitiana misibani na kuona watu wanafanya mapenzi migombani ni kawaida sana, yaani hata mchana.
 
mkuu pale itiji ulisoma na wale saa mbovu ingawaje madarasa yalikua tofuati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…