sawa ataipelekamkuu kuna thread ya mbeya.
Mods please move hii thred kule inajaza server bule
Wadau risasi na mabomu yanarindima mwanjelwa mbeya kati ya polisi na vijana. Barabara ya kibiashara ilifungwa. Ni hatari
sawa ataipeleka
Maandamano yameisha watu wanachechemea kurudi makwao chapwa mbaya polisi wanapiga jaramba wanaomba wapi kwingine waende vijana wanpendeza hawa wanapendeza sana hawa wameiva ...Tanzania hakika tuko imara
hivi jk anaona taabu gani kuacha uraisi ampishe mtu mwingine ..hivi kwanza nasikia hazina hakuna hela wanafanyia nini hela hawa au wanaweka vocha kwenye simu na kunywa azama kola
hivi jk anaona taabu gani kuacha uraisi ampishe mtu mwingine ..hivi kwanza nasikia hazina hakuna hela wanafanyia nini hela hawa au wanaweka vocha kwenye simu na kunywa azama kola
Kuna mkakati kabambe wakuwaondoa askari wote walio ishia darasa la saba,hii kitu lazima ikukute maana unakurupuka sana na kuposti upupu humu jamvini.
Nimepokea simu kutoka kwa ndugu yangu anasema hali ni mbaya sana kuanzia mafiati mpaka SAE ni vurugu tupu na mabomu ya machozi yanapigwa sana!Mbeya hapatoshi ni kati ya wamachinga na polisi.
Member
Join Date : 9th November 2011
Posts : 24
Rep Power : 0
Re: Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!
Maandamano yameisha watu wanachechemea kurudi makwao chapwa mbaya polisi wanapiga jaramba wanaomba wapi kwingine waende vijana wanpendeza hawa wanapendeza sana hawa wameiva ...Tanzania hakika tuko imara
MY TAKE
JF imevamiwa kweli kweli. Watu wanapotosha sana hoja siku hizi. Vurugu mbeya zinaendelea,Mawe yanarushwa sana.
Magari imekuwa hatari kuendesha kwa muda huu.
dar fujo kila mahali siku hizi, huko tunakoelekea huko si kwema