By Sumbalawinyo:
Polisi imepiga marufuku maandamano ya
kesho na magari ya polisi yenye vipaza
sauti yananapita mitaani yakiwatisha
kuwa kesho wasiandamane na
wakithubutu tu, polisi watatumia risasi za
moto kudhibiti maandamano hayo.
Maneno hayo yanatoka kwenye difenda
ya FFU yenye vipaza sauti, nimeshindwa
kukopi namba kwa kuwa taa ya kwenye
number plate haiwaki.