Maandamano yameisha watu wanachechemea kurudi makwao chapwa mbaya polisi wanapiga jaramba wanaomba wapi kwingine waende vijana wanpendeza hawa wanapendeza sana hawa wameiva ...Tanzania hakika tuko imara
Kafirwe.
Weeeeeeeeeee!....Mby hagusi_na hivi anataka kuwa kolimba M/kyembe na M/ndosya ndio kabisaaaaaaa.
Mtu mwenyewe MMEMKWA ulifikiri angeandika nini? Majina yetu hapa JF yanareflection kubwa sana ya tabia halisi za watu.Napata tabu kutambua utashi wako ila napenda tu kukujulisha kwamba hapa ni kwa great thinkers maana nahisi umekosea njia
waliwatengea viwanja vya maonesho ya nanenane vya John Makangale.waliwatengea maeneo yapi? Na je yanakidhi?