Mbeya kunani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbeya kunani??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mvaa Tai, Aug 3, 2011.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mbeya ni miongoni mwa mikoa iliyokuwa inatisha katika soka miaka ya nyuma na hivi karibuni, inakuwaje kwasasa Mbeya haina timu inayoshiriki Ligi kuu Tanzania? Ipo wapi kipenzi changu Tukuyu Stars(Bhanyambala)?, wapo wapi Mecco?, Wameishia wapi Tanzania Prisons? inaniuma sana nikikumbuka enzi za Jimy Moledi, Salumu Kusi, Stephen Musa, Asanga Aswile, Mbwana Makata na wengine wengi. Kuna nini sasa hivi Mbeya??????????.
   
Loading...