Mbeya kuna Daktari anaitwa Danny, serikali imeshindwa kumuwajibisha?

Ni kweli, Mimi huyu jamaa namfahamu na nimeshawahi kukutana nae PERAMIHO HOSPITAL (St. Joseph), ni mchaga kwa kabila na ni mtu wa kujisikia sana na kujiona anajua kila kitu. Pamoja na ugonjwa niliokuwa nao kama mgonjwa lakini sikuona kuwa ana ufahamu wa tatizo langu, mwisho wa siku nikaachana nae na bahati nzuri nilipata safari ya nje nchi ambapo nilifanikiwa kuonana na madaktari ambao waliweza kutatua tatizo langu.

Naungana na mtoa hoja kwa sababu zifuatazo.
1. Akiwa anafanya kazi peramiho alikuwa mtu wa kupenda rushwa sana na kujiona ni daktari bora kuliko wengine.
2. Muda mwingi alikwa anashinda kwenye bar yake aliyofungua hapo mjini songea 'nadhani unajua mchaga na pesa na mchaga na biashara za bar' na muda mwingi alikuwa yupo 'Tungi' sasa nikawa nikuona najiuliza hivi huyu jamaa na tungi kichwani akiitwa kwa emergence hospital itakuaje?

3. Yeye sio daktari wa mifupa na sio daktari bingwa, ndio maana hata pale Peramiho alikuwa kwa wagonjwa wa jumla muda wote na hakuwa Specialist kama ilivyo kwa Ma Dr. wengine ambao wana ofisi zao kule ndani as 'Specialist Doctors', so mgonjwa unachekiwa na dr wa kawaida but if the issue is complicated...then wana-direct uende ndani kuonana na maspecialist.

Mwisho nasadiki kusema ni kweli...Danny sio specialist doctor, sijasimuliwa namfahamu vizuri.
 
Napata utata hapa. Kama anajisikia unavyosema kwa nini wagonjwa wananfuata sasa si wangemkimbia?
 
Huyu ndo kafika na mgonjwa hapa Ks hosp kutokea rufaa mbeya muulizeni kwa nini wanamfuata huyo Dr Danny number hiyo 0759565920, hapa nadhani majungu yatakoma
Mkuu usitoe namba za watu ovyo ovyo ili kujisafisha. Nani anauhakika kama hiyo namba ni ya mgonjwa au ni nyie haohao wafanyakazi wa K's hospital?
 
Huyu ndo kafika na mgonjwa hapa Ks hosp kutokea rufaa mbeya muulizeni kwa nini wanamfuata huyo Dr Danny number hiyo 0759565920, hapa nadhani majungu yatakoma
Kwanza yawezekana Dr. Kanama ndo anawavuta hao wagonjwa kutoka Mbeya ref hospital ili waje wakutane na huyo Dr.Danny K's hospital. So uspende kutoatoa namba za simu za wateja wenu (kama ni kweli) ili kujisafisha.
 
Mmmhh namjua huyo yupo machepele machepele hivi.. . Lkn kama ni kweli Mungu amsaidie na aache utapeli utapeli na rushwa ili kila mtanzania apewe huduma inayostahiki..
 
Hapo kuna Dr. Kamwonea wivu Dr chapa kazi achana na majungu wenyewe wameshindwa kuwasaidia wagonjwa wanaanza kulalamika mtandaoni!!!!!
 
Danny kwani yeye hajasikia kuwa hizi DILI zote Jpm kakataza,,

Kama ni kweli bado anapiga hizo DILI basi SK zake zinahesabika ,, kwa nyie mnaomfahama mwambieni aache kupiga hiyo kitu sasa hiv wote TUNASOMA NAMBA TU,, Aache mazoea.
 

Peleka taarifa kwa RMO au DMO ashugulikiwe haraka sana.
 
Huyu ndo kafika na mgonjwa hapa Ks hosp kutokea rufaa mbeya muulizeni kwa nini wanamfuata huyo Dr Danny number hiyo 0759565920, hapa nadhani majungu yatakoma[/
Naamini ww si Dr .,ila hebu uliza kwa madaktarikitu kiitwacho medical ethics
 
Rufaa mbeya pameoza kabisa.kuna dr wa magonjwa ya moyo ana kihospital chake ilomba nae ukienda rufaa akuhudumii anakwambia njoo ilomba jamani mnauwa watu bila sababu za msingi.hapo serikalini hawafanyi kazi kabisa ni wapo wanachezea simu tu as if wao hawataugua.ni hayo tu .
 
Umesema ana degree moja tuwekee hapa hicho cha degree moja ya udaktari ambacho wewe unadai ili nasi tuthibitishe vinginevyo ni majungu.na hivyo vyeti vya hao ambao unadai amewasababishia vifo unavyo na vinasema hivyo kuwa yeye ndiye msababishaji.
Imekuuuumaaeeh mtasmwakilasehemu
 
Dr Sijabadi
 
Hakika wew ni msema kweli mimi alishawahi nitibu na nilipo vizuri nilipata ajali nikavunjika mguu kwenye paja yani mfupa mkubwa ulivunjika mwaka 2013 ni akanitibu kwenye Hospital ya mkoa wa Ruvuma kipindi hicho alikuwa ameshafukuzwa peramiho kuhusu garama tulipeana mikononi sh 400,000 badada ya miezi mitatu nilienda cheki mguu umeunga nikaambiwa nitoe sh 80,000 ya kutolea chuma, chuma sikutolewa akanipiga chenga nikaja kusikia amehamiahiwa Tabora ikanibidi nitoe tena 100,000 ya kutowa chuma mpaka sasa natembea vizur ila sio sana kama zaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…