Anayelalamika kama wewe ujue shindano imeshamwingia sawasawa! Mkuu tulia upone ugonjwa wako wa kifafa!Sema Watanzania wananyooka, kama huamini kaulize koroshow mtwara
Anayelalamika kama wewe ujue shindano imeshamwingia sawasawa! Mkuu tulia upone ugonjwa wako wa kifafa!Sema Watanzania wananyooka, kama huamini kaulize koroshow mtwara
Hawa watu ni mapopoma!Badala ya kushughulikia mambo ya maana wanajidili na mambo ya ajabu ajabu!Hilo ndio jeshi la polisi,shame!
Endekea kugonga glass mkuu!!Hata asipotoka,haki inachelewaga tu!
Nways karma is a bitch,saizi watu tunagonga glass kwa maswaibu yaliyomkuta waziri fulani leo!!!!!!
Ushahidi utatoka nahakamani siyo JF
Wew ndo utanyooka maana ni mjinga.Mtanyooka tu awamu hii.
Kwa sana tu,kenge nyie!Endekea kugonga glass mkuu!!
Ndio dawa yake.
Imewaingia kisawa sawa maana tunaona namna korosho ilivyotia uchizi wananchi wa kusiniAnayelalamika kama wewe ujue shindano imeshamwingia sawasawa! Mkuu tulia upone ugonjwa wako wa kifafa!
Sugu ndio kakamatwa hivyo. Wewe baki hapa unapiga mayowe tu. Haisaidii kitu.Ingekuwa Mtu kushikiliwa Gerezani ndio Dawa Serikali isinge Jenga Magereza tena.Tatueni Matatizo ya Msingi ya Raia sio kukimbizana na Wapinzani tu kama ndio Suluhu ya Matatizo mengine.Haiwezekani Wapinzani pekee wawe ndio wakosaji ..
Sugu ndio kakamatwa hivyo. Wewe baki hapa unapiga mayowe tu. Haisaidii kitu.
Unaongea na mimi au wao?...hata mkituua...
Unaongea na mimi au wao?
Vitambulisho vyote vipo kwa mujibu wa sheria au kanuni fulani. Hivi ni mawazo binafsi ya Jiwe. Mtu akikataa anavunja sheria ipi?Kuamuru kuchoma vitambulisho ni ujinga mkubwa, haiwezrkani rais katengeneza vitbulisho we uje kuvichoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sega la asali.Hii nchi ilipofika ni patamu sana !
Vitambulisho vyote vipo kwa mujibu wa sheria au kanuni fulani. Hivi ni mawazo binafsi ya Jiwe. Mtu akikataa anavunja sheria ipi?
Awamu haina utawala wa sheria. Wanalazimisha hadi bar maids wavinunue. Imekuwa biashara ya kuingiza pesa. Mbona vya taifa vipo kisheria na ni bure?
Hivi kumbe ni vya kulipia kila mwezi!!!!Polee Sana mh Mbunge,huku kwetu nako wametangaza hata wamama wauza ndizi mtaani za kuiva, karanga na mbogamboga wanunue hivyo vitambulisho kwa 20000/= na kila mwezi kulipia hiyo hiyo 20000/=
Je tunaelekea wapii jamaniiiiiiiiiiiiiiiiii?
Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau