Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi kwa uchochezi, apewa dhamana

Yaani tunasubir vitambulisho vya waendesha baiskeli a.k.a Mwenge
Au vitambulisho vya kila mnyama. Au ""Irhighuti"
 
Nchi inamnyoosha kichaa wenu amejifungia ndani pale Magogoni kaa mwali vile..
Pumbafff kabisa alifikiri kuongoza Nchi ni rahisi kama alivyokuwa anafukuza makandarasi..
Na bado.
Hayo tu maneno yako yanathibitisha umeshanyoka!! Karibu stress zitakuua mkuu!
 
Kwani mtu akienda kuhojiwa na polisi tayari ni mtuhumiwa ?
Kitendo cha kuomba afikishwe mahakamani tayari kuna mashaka juu yake uwenda mkawa mnajua alichokitamka hadharani kuwa ni kosa kisheria ndio maana mnataka polisi wamfikishe mahakamani
Kuna watanzania kibao uwa tunaitwa polisi kuhojiwa na kisha tunaachiwa huru...



Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa ulichoandika?
 
Yamekuwa haya!
Nyie haya tu...
Sugu tupo pamoja mapambano yaendelee mwisho wao u karibu.
T.ulia ndio kazi yake....connect dots
 
KAMUNZU BANDA wetu anajitahidi kuiga ya KAMUNZU BANDA wa Malawi

Kamunzu wa Malawi alipiga marufuku upinzani kwa madai hata Mbinguni ulikataliwa na shetani kutupwa.

KAMUNZU BANDA wetu bila kificho hataki kuwepo na upinzani na alishawahi kulisema hilo kwa kinywa chake mwenyewe.

KAMUNZU wa MALAWI alijiona yeye ana akili kuliko wote nchini kwake na kufanya kila kitu yeye mwenyewe.

KAMUNZU WETU nae kila kitu yeye anajua yeye hakuna mwenye akili zaidi yake akawatishia mashangazi wa mtwara na kuwaingiza chaka wakulima wa ROKOSHO MTWARA sasa wanarudishiwa hazina ubora.

KAMUNZU wa Malawi aliwaua mawaziri wake watau kwa kuwapiga misumari kichwani kuna mbunge alikuwa anakatiza akakuta mawaziri wanateswa nae akaingizwa kwenye mkumbo akauli na kuwekwa kwenye gari na kulitumbukiza mtaroni na kutangaza wamekufa kwa ajali mawaziri watatu na mbunge na kuzikwa usiku huo huo.

KAMUNZU wetu akamteka BEN SAA NANE hajulikani alipo, akambatua risasi 16 TAL bahati nzuri akafeli jaribio akamteka Azori na wengine kupotea.

KAMUNZU BANDA wa Malawi kila aliloongea ni sheria na lizima lifanyiwe kazi hata kama ni porojo.

KAMUNZU Wetu sasa hata akiambiwa ukweli hautaki kuusikiliza utasikia HUWEZİ KUNİJİBU HİVİ MİMİ WEWE harafu anakutumbua.

KAMUNZU wa malawi richa ya kutesa, kunyanyasa , majivuno na kejeri lakini alikufa

Na KAMUNZU wetu nae atakufa tu na atakuwa na cha kujibu kwa MUNGU.
 
Japo upo kichama zaidi mleta uzi. Ila naona sugu si mda nae tena ata ungana na akina mbowe mana dalili zinaoneka sasa kwa nn asipewe haki yake ya dhamana kulingana na sheria.


Inasaidia nini sasa mbowe yupo jela korosho serikali imechemka kununua
 
Back
Top Bottom