Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi kwa uchochezi, apewa dhamana

Ushahidi utatoka nahakamani siyo JF

Kama ndivyo ni kwa nini na wewe una shuhudia Uongo kwa kusema Uongo Jamiiforums ?.Nia yako ni ipi hasa dhidi ya Mh Mbunge ?..'Hauoni na wewe ume tenda Kosa kwa kuandika Habari za Uongo ?
 
Ingekuwa Mtu kushikiliwa Gerezani ndio Dawa Serikali isinge Jenga Magereza tena.Tatueni Matatizo ya Msingi ya Raia sio kukimbizana na Wapinzani tu kama ndio Suluhu ya Matatizo mengine.Haiwezekani Wapinzani pekee wawe ndio wakosaji ..
Sugu ndio kakamatwa hivyo. Wewe baki hapa unapiga mayowe tu. Haisaidii kitu.
 
Kuamuru kuchoma vitambulisho ni ujinga mkubwa, haiwezrkani rais katengeneza vitbulisho we uje kuvichoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Vitambulisho vyote vipo kwa mujibu wa sheria au kanuni fulani. Hivi ni mawazo binafsi ya Jiwe. Mtu akikataa anavunja sheria ipi?
Awamu haina utawala wa sheria. Wanalazimisha hadi bar maids wavinunue. Imekuwa biashara ya kuingiza pesa. Mbona vya taifa vipo kisheria na ni bure?
 
Mkuu ile ni Biashara ....
 
Polee Sana mh Mbunge,huku kwetu nako wametangaza hata wamama wauza ndizi mtaani za kuiva, karanga na mbogamboga wanunue hivyo vitambulisho kwa 20000/= na kila mwezi kulipia hiyo hiyo 20000/=
Je tunaelekea wapii jamaniiiiiiiiiiiiiiiiii?

Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
Hivi kumbe ni vya kulipia kila mwezi!!!!
 
Back
Top Bottom