Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Mkachome kwenuWana Mbeya kama mpo humu hebu jibuni mapigo.
Mkachome kwenuWana Mbeya kama mpo humu hebu jibuni mapigo.
Ndiyo maana wanatabia mbovu kama za DAB wao,wala urojo wote hao.Nyama choma tunawaachia nyie wa Dar na DAB wenu Tippu Tip Jr......Mbeya ni mwendo wa kisyesye,kifuge,dona,maziwa,maparachichi,miduhu,mbalaga na makande.
Nilikula nyama choma Mbeya pazuri mbichi kabisa nikaomba warudishe motoni wakagoma nikatulia walivojipindua nikalakona sikulipa.Katika biashara zangu huwa nafika mikoani.
Mkoa mmoja nafika natembelea ni Mbeya.
Kwa mara tofauti nikaulizia sehemu ya nyama/kuku choma nikaambiwa Carnival (karibu na Mafiati,Mwanjelwa) na Mbeya Pazuri, Sae kuelekea Uyole.
Nilikuwa Mbeya Pazuri wiki iliyopita.
Sehemu zote hizi kuku choma nilizoagiza ni mbaya, mbaya, mbaya mno.
Kuku hajapakwa viungo wala vilainishi nyama na ana shombo.
Nyama inatiwa kwenye mafuta yaliyo chemshwa na kutolewa hivyo hivyo.
Nyama ngumu kama manati.
Mbeya mkoje lakini?
Chakula kinatoka huko kuja Dar lakini hamjui kupika.
Wadau huko tupeni sehemu nzuri kwa vitafunwa na moja baridi.
Ngoja nifate kamusi.....anko unafika hadi hukuHaya ninong'oneze kidogo, hiyo sauti gwa jipilike kugu gwe kalindwana ugwe?
Karibu kitaani kwetu utanikuta.




Hapo hyo 501 soul pale uhindini pale ni matata sana uwaga napamiss sanasijui vipi ila mimi nilipelekwa sehemu kama mbili zote fantastic misosi yake moja nakumbuka kama 501point or something nyinngine sihyi city nini sikumbuki kwa kweli ila misosi ya choma choma mbuzi kuku ngombe ilo sawa sana
Embu asome hapa pale nimepamiss sana ngoja nijichange niendemkuu habari,
mbeya wachomaji nyama ni wachache,
kuna jamaa anaitwa 501 soul food, wapo mjini uhindini karibia na bhojan duka madawa..
hawa huwa wanahost nyama choma pia once a week,kila jumamosi ya mwisho wa mwezi...
Asante kwa kuliweka wazi.Nilikula nyama choma Mbeya pazuri mbichi kabisa nikaomba warudishe motoni wakagoma nikatulia walivojipindua nikalakona sikulipa.
Nimesema uliza wenyeji sio usome vibaoHivi kuna vibao vinaonyesha hapa wapata nyapu a.k.a K Vant ,na kibao kinaonyesha sehemu ya nyama choma nzuri?
Hata kama ni kweli, wazungu wanasema, when in Rome do as the Romans do.Asante kwa kuliweka wazi.
Watu wanafikiri nilikuwa natania.
Maparachichi tena?Haya Jidu njoo Krismasi 2020, ule ndisi choma na maparachichi, na maziwa mgando!

Alichoandika mleta mada ni ukweli mtupuMshazoea broiler mtawezea wap organic?
Kaskazini pia kunazidianame nadhani suala la nyama choma wangeachiwa watu wa mikoa ya kaskazini na kanda ya ziwa.