Mbeya hawajui kabisa nyama choma

Mbeya hawajui kabisa nyama choma

Carnival ni wabovu sana sijui wanazidiwa wateja,
Agiza kuku aloo si mchezo sikula,supu balaa,nyama choma ayaaa
sijui hata tuliishia kuonjaonja tu
Meza imejaa vyakula hamuwezi kula.
Tukaita mabarmaid wakala balaa.
Kuna hotel mbele nanenane stendi sijui inaitwa mfikemo.
Agiza supu kongoro wakaleta guu zima km lilivyo.
Ntakulaje sasa hamjakatakata.
Kuku balaa,
Mbuzi hovyo,
Chipsi yai la kienyeji hata kachumbari hawawezi.
Nikapewa tomato sauce.
Ila kwenye mabanda kitimoto nilienjoy haswa wako vizuri.
 
Nahisi ulitembelea sehemu maarufu kwa uuzaji wa K Vant sio nyama choma...
Next time nenda pembeni kidogo ya mji sio vilabuni huko utafurahi siwezi kutaja ni kama free promotion
Mkuu njoo inbobo niambie basi
 
Kila jamii ina mapishi yake, ni sawa kumlaumu mtu wa Kanda maalumu kwa kushindwa kupika kisamvu cha nazi au umlaumu mkwere kushindwa kupika kisamvu cha karanga. Nadhani ni tamaduni tu za jamii

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
Ya Mbeya imezindi, kula nyama mbichi hatari hata kwa maginjwa.
Waeza pata salmonella poisoning.
 
Katika biashara zangu huwa nafika mikoani.
Mkoa mmoja nafika natembelea ni Mbeya.
Kwa mara tofauti nikaulizia sehemu ya nyama/kuku choma nikaambiwa Carnival (karibu na Mafiati,Mwanjelwa) na Mbeya Pazuri, Sae kuelekea Uyole.

Nilikuwa Mbeya Pazuri wiki iliyopita.

Sehemu zote hizi kuku choma nilizoagiza ni mbaya, mbaya, mbaya mno.
Kuku hajapakwa viungo wala vilainishi nyama na ana shombo.

Nyama inatiwa kwenye mafuta yaliyo chemshwa na kutolewa hivyo hivyo.
Nyama ngumu kama manati.

Mbeya mkoje lakini?
Chakula kinatoka huko kuja Dar lakini hamjui kupika.
Wadau huko tupeni sehemu nzuri kwa vitafunwa na moja baridi.
Mapishi asili ya kiafrika huko hawajaathiriwa na maviungo ya waarabu na wahindi
 
Carnival ni wabovu sana sijui wanazidiwa wateja,
Agiza kuku aloo si mchezo sikula,supu balaa,nyama choma ayaaa
sijui hata tuliishia kuonjaonja tu
Meza imejaa vyakula hamuwezi kula.
Tukaita mabarmaid wakala balaa.
Kuna hotel mbele nanenane stendi sijui inaitwa mfikemo.
Agiza supu kongoro wakaleta guu zima km lilivyo.
Ntakulaje sasa hamjakatakata.
Kuku balaa,
Mbuzi hovyo,
Chipsi yai la kienyeji hata kachumbari hawawezi.
Nikapewa tomato sauce.
Ila kwenye mabanda kitimoto nilienjoy haswa wako vizuri.
Mbeya yote bar zote hawajui kutengeneza nyama au kuku.
Tatizo hawataki kujifunza kutoka kwa wengine, maana kuku au nyama lazima ipitie viungo, tenderizatio an, marination ya masaa.

Huko Mbeya nyama inalopolewa fresh na kulowekwa kwenye mfuta ya moto na inaopolewa haikuwiva a harufu tele.
 
ukiwa canival elekea magharibi kuna njia mchepuko hapo ya mtaa ifuate mbele kuna pub kubwa jina sikumbuki..weee kuna nyama choma matata sana nilikula ngombe, wapo vizuri.sana jiko lao...
 
ukiwa canival elekea magharibi kuna njia mchepuko hapo ya mtaa ifuate mbele kuna pub kubwa jina sikumbuki..weee kuna nyama choma matata sana nilikula ngombe, wapo vizuri.sana jiko lao...
Pale njia panda kushoto mwanjelwa ukitoka uyole ukipita tu masoko yale nyama za kufa mtu hasa kitimoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom