Mbeya derby:Prison vs Mbeya City

prison wanapata kona,na mpira unaokolewa
 
Prison mbona mnawachelewesha hao watu wa halmashauri?
 
gfoooooooooooooooooo,mbeya city wanaandika goli apa
 
Naomba matokeo Kati ya mbeya city na Tanzania prison Kama umeyapata!
 
Mbeya city wanashambulia kwelihapa,
 
faulo inapigwa kulekea lango la MCC,mpira unatoka unarushwa kuelekea MCC
 
Prison wanapta kona,mpira unatoka unakuwa goal kick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…