hamna kitu hapo hao jamaa wa magereza wanakamia zaidi badala ya kucheza mpira
wako tayari wasifungwe na yanga lakini washuke daraja lakin kwa mcc wataisoma tu
Matokeo ngapi ngapi?
Nimejaribu kuangalia website ya TFF nimekuta haina lolote, no any updates