Mbeya City CFC yaingia mkataba na Benki ya Posta

Mbeya City CFC yaingia mkataba na Benki ya Posta

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,356
Release No. 004


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

10616232_572137596265955_7212279333911538929_n.jpg


Oktoba 30, 2014


MKATABA WA KIBIASHARA

Leo tarehe 30.Oct.2014, Mbeya City Fc inasaini mkataba wa makubaliano ya kibiashara na Benki ya Posta Tanzania (TPB).

Huu ni mkataba wa kibiashara (Siyo udhamini) kwa maana kuwa kupitia kadi za ATM ambazo mashabikiwa Mbeya City Fc watapewa baada ya kufungua ‘akaunti' wataweza kuichangia timu kupitia huduma za kibenki watakazokuwa wakizifanya kwa kutumia akaunti zao.

Mkataba huu pia utaifanya club kufahamu idadi ya mashabiki iliyonao nchini kote.

DISMAS TEN

AFISA HABARI NA MAWASILIANO

MBEYA CITY COUNCIL FC.

Chanzo: Tovuti ya MCC FC
 
Back
Top Bottom