Mbugi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,488
- 258
Wabunge wengine waliotangulia wamefanya nini.
Wabunge wengine walidumisha mila!! huyu anadharau mila au unasemaje?
Wabunge wengine waliotangulia wamefanya nini.
Shitambala ninamweshimu sana. Hata mzee wa upako ikimuonaga Mwanasheria huyu hawez kusema lolote. Sugu kama anaweza amjibu mwanasheria huyo kama alivyo mjibu Mlugo. 96% huyu jamaa ndiye aliyemweka Sugu pale.
kimsingi hoja ya shitambala ni sehemu ya namna ya kukisaidia na kumsaidia Sugu kwani nimeona wiki mbili tu zilizopita alikuwa na ligi ya mbunge watu waliapreciate sana maandalizi na jinsi alivyojitahidi kama Mbunge, na kama aliweza hilo nadhani na mengine anaweza aachane na kubishana na ccm kwani kwanza ajue tu ccm mby ni chama pinzani na inakuwa haina maana kama mtu ambaye wananchi wanamtegea kutatua kero zao wanamkuta naye analia lia na kulalamika kama ilivyo sasa kwa mh SUGU. NI VYEMA ajipange kuona kile kinachowezekana kufanyika kwa maslahi ya wananchi kinafanyika mfano kama sasa tunataraji kupeleka watoto wetu sekondari basi ningemshauri atembelee shule zote kuona mapungufu na namna wananchi wanavyoshiriki hivi sasa ktk kukamilisha madarasa badala ya kupambana na MLUGO SHITAMBALA AU MBUZA. pili ninamshauri asipende kupewa taarifa bila mwenyewe kwenda site, na ahakikishe anafuatilia na anashiriki kuchangia pamoja na wananchi ktk ujenzi wa shule, hosptal siyo kama ilivyosasa anaonekana kujikita zaidi kwenye blabla za mimi MEYOR hanitakii mema, mara ccm wananifuatilia nk. pili ni vizuri akaangalia kwa kiasi kidogo tu mwelekeo wa wanambeya kwa kipindi alichokaa madarakani wanaonekana kumwelewa au ?? ni kweli mbeya cdm wananguvu je nguvu hiyo inaonekana zaidi imejikita kwa sugu au ni mvuto tu wa chama na siyo mbunge wao? watu kwa ufupi wanaona walichotegemea kutoka kwa mbunge wao hakuna lakini bado wanaimani na cdm wanachofanya sasa ni kuangalia mtu makini mwingine kuchukua nafasi hiyo> "huo ni mtazamo wangu nisihukumiwe kwa hili tafadhali" niseme tu kwamba sugu bado una mda unaweza kujirekebisha badilika ludi kwa watu achana mambo ya uongo kama barabara ni wewe unayejenga hebu tafuta chochote cha kwako ukifanye na watu watakubali bado nguvu ipo unaweza lasivyo utakuja sema haya niayasemayo
Hata mm nawashaanga sana kwahiyo sugu Kuwa f4 Ndio kunahalalisha wakina Ammim sijui nani anaitwa huyo waziri kilaza kutumia vyeti venye majina ya watu wengine,in my case Naona sugu is better off kuliko jitu linalojitutumua kwa kutumia bongo zawengine,sugu ashauriwe tu ajiendeleze ki elimu haya sasa na huyo ambae hakuna cheti chake anaanzia wapi?inchi Hii kuna watu wanatia hasira sana tu..,..,,bora uwe na elmu ndogo ya ukwel kulko kubwa ya uongo,labda haukuelewa maneno ya sugu mckurupuke il muonekane great thnkers..
Nawewe muda wenu na kundi lako ukifika mtarudi wapi?muda wenu Ndio Huo unakaribia bado tu kma 2yrs ....,,,Sugu naye asubiri muda wake tu arudi kwenye bongo freva.