Shitambala ninamweshimu sana. Hata mzee wa upako ikimuonaga Mwanasheria huyu hawez kusema lolote. Sugu kama anaweza amjibu mwanasheria huyo kama alivyo mjibu Mlugo. 96% huyu jamaa ndiye aliyemweka Sugu pale.
Kumbe huyu Shitambala ndiye aliyepiga kura zote kwa Sugu!BAPUPEGHE umechemka mbaya.Shitambala ninamweshimu sana. Hata mzee wa upako ikimuonaga Mwanasheria huyu hawez kusema lolote. Sugu kama anaweza amjibu mwanasheria huyo kama alivyo mjibu Mlugo. 96% huyu jamaa ndiye aliyemweka Sugu pale.
Shitambala ninamweshimu sana. Hata mzee wa upako ikimuonaga Mwanasheria huyu hawez kusema lolote. Sugu kama anaweza amjibu mwanasheria huyo kama alivyo mjibu Mlugo. 96% huyu jamaa ndiye aliyemweka Sugu pale.
Tuweke siasa kando, this is a wake up call to opposition parliamentalians. Watu wengi kwenye mitandao ya kijamii na vikundi vingine (rasmi na visivyo rasmi) wamekuwa wakihoji utendaji kazi wa wabunge kadhaa hapa nchini, sugu ni mmoja wapo.
Najua inaweza ikawa ngumu kumeza kwa wapenzi wa vyama, Sugu alipata mteremko pale Mbeya Mjini kutokana na udhaifu wa mgombea aliyesimamishwa na CCM.
Kwa haya ninayosoma na kusikia, kama CCM itakuwa kweli imejifunza kupitia makosa iliyofanya mwaka 2010 katika michakato ya ndani kutafuta wagombea wa kukiwakilisha chama hicho kwenye chaguzi mbalimbali za mwaka 2010 ambapo chama kiliwaengua kimizengwe wagombea wengi waliokuwa wanakubalika kwa wananchi na kuwapitisha wagombea waliowaamini wao kuwa wangepeperusha bendera ya chama vizuri basi upinzani utatakiwa ujidhatiti sana katika kutetea au hata kuongeza viti vingine vya udiwani na ubunge.
Kwa namna yoyote ile, uchaguzi ujao hautokuwa mwepesi kwa mgombea ama chama chochote kile. Wapiga kura na wananchi kwa ujumla wanazidi kujielewa, mwamko waliokuwa nao mwaka 2010 ni wazi utakuwa mara dufu ifikapo mwaka 2015 na utachagizwa sana na uwepo wa Katiba mpya.
huyu jamaa shitambala naye si aligombea mbeya vijijini mbona alishindwa???? alimuwekaje sugu kama yeye mwenyewe alishindwa kujiweka??? acheni unafiki, plz muwage wakweli na unazi muwekage pembeni, huyo bwn anatwanga maji kwny kinu wanabaki kutapatapa.
Kwani Sugu hakupigiwa kura na watu wa Mbeya? Ubunge wake ni wa kuteuliwa na Shitambala?...Shitambala ninamweshimu sana. Hata mzee wa upako ikimuonaga Mwanasheria huyu hawez kusema lolote. Sugu kama anaweza amjibu mwanasheria huyo kama alivyo mjibu Mlugo. 96% huyu jamaa ndiye aliyemweka Sugu pale.
Shitambala ninamweshimu sana. Hata mzee wa upako ikimuonaga Mwanasheria huyu hawez kusema lolote. Sugu kama anaweza amjibu mwanasheria huyo kama alivyo mjibu Mlugo. 96% huyu jamaa ndiye aliyemweka Sugu pale.
Shitambala ninamweshimu sana. Hata mzee wa upako ikimuonaga Mwanasheria huyu hawez kusema lolote. Sugu kama anaweza amjibu mwanasheria huyo kama alivyo mjibu Mlugo. 96% huyu jamaa ndiye aliyemweka Sugu pale.
Kuonesha watu wa mby wamechoka na viroba, mwezi julai na agast kulikuwa na uchaguzi wa serikal za mitaa, hebu tukumbushe cdm walipata ngapi na sisi M, walipata vingapi? Nasemea mby mjini.
Mkuu moja ya hoja ya kukosana na CDM huyu Advocate Shitambala ilikuwa ni kukubali matokeo ya jimbo alilogombea kupindishwa na hatimaye jimbo likachukuliwa na CCM,so kwa mujibu wa CDM Shitambala alishinda jimbo lile kiuhalali lakini akahongwa na ccm kukubali matokeo yapindishwe.
My take: Sugu alikosea sana kumzodoe Mulugo kwa kiwango chake cha elimu wakati yeye hata hiyo Digrii ya kuungaunga hana. Siasa za Bongo bana raha sana eti elimu ya darasa la 12 dah!!!!