Mbeya: Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kumuua mpenzi wake kisa kunyimwa Penzi

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Mbeya, imemuhukumu adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja jela, Hamphrey Ngogo, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mpenzi wake Faraja Shabani, bila kukusudia.

Katika kesi hiyo ya jinai ya mwaka 2023, hukumu yake imetolewa jana Machi 25, 2025 na Jaji Mussa Pomo na nakala yake kupatikana kwenye mtandao wa mahakama.
Awali Ngogo alishtakiwa kwa kosa la mauaji alilolitenda kinyume na kifungu cha 196 cha Kanuni ya Adhabu.

Ngogo wakati anatenda kosa hilo Septemba 2, 2022 katika eneo la Mkuyu kata ya Iganzo, mkoani Mbeya alikuwa na miaka 17.

Upande wa mashitaka ulieleza kuwa Ngogo alikiri kutenda kosa hilo na kuwa siku ya tukio alikwenda nyumbani kwa akina Faraja kwa lengo la kufanya naye mapenzi, ila marehemu hakuwa tayari ndipo alipomkaba shingo ili asipige kelele.

Ilielezwa kuwa licha ya kujaribu kumkaba marehemu aliendelea kupiga kelele, mshtakiwa akaenda kuchukua shoka na kumpiga nalo kichwani na baada ya kuona Faraja hazungumzi tena, alitoka nje na kukimbia.

Chanzo Mwananchi
 
Attachments

Ilielezwa kuwa licha ya kujaribu kumkaba marehemu aliendelea kupiga kelele, mshtakiwa akaenda kuchukua shoka na kumpiga nalo kichwani na baada ya kuona Faraja hazungumzi tena, alitoka nje na kukimbia.😭😭😭
 
Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Mbeya, imemuhukumu adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja jela, Hamphrey Ngogo, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mpenzi wake Faraja Shabani, bila kukusudia.

Katika kesi hiyo ya jinai ya mwaka 2023, hukumu yake imetolewa jana Machi 25, 2025 na Jaji Mussa Pomo na nakala yake kupatikana kwenye mtandao wa mahakama.
Awali Ngogo alishtakiwa kwa kosa la mauaji alilolitenda kinyume na kifungu cha 196 cha Kanuni ya Adhabu.

Ngogo wakati anatenda kosa hilo Septemba 2, 2022 katika eneo la Mkuyu kata ya Iganzo, mkoani Mbeya alikuwa na miaka 17.

Upande wa mashitaka ulieleza kuwa Ngogo alikiri kutenda kosa hilo na kuwa siku ya tukio alikwenda nyumbani kwa akina Faraja kwa lengo la kufanya naye mapenzi, ila marehemu hakuwa tayari ndipo alipomkaba shingo ili asipige kelele.

Ilielezwa kuwa licha ya kujaribu kumkaba marehemu aliendelea kupiga kelele, mshtakiwa akaenda kuchukua shoka na kumpiga nalo kichwani na baada ya kuona Faraja hazungumzi tena, alitoka nje na kukimbia.

Chanzo Mwananchi
Msinyimane jmn 😂😂 . Hii trend inayoendelea vijana hawataki masihara
 
Aikuwa chini ya miaka 18
Hiyo sio exception ya kutohukumiwa kwa kosa la mauaji ya kukusudia mkuu.

Penal Code kifungu cha 15 (2) imeweka wazi kabisa hata mtoto mwenye umri wa miaka 12 aki commit crime na wakati wa kutenda hiyo jinai alikuwa na uelewa na kitu anachokifanya kuwa ni kosa basi atahukumiwa kwa jinai aliyotenda ingawaje uendeshwaji wa kesi yake ni kupitia juvenile court.

Ukisoma kifungu hicho hicho cha 15 (3) kinasema mtoto wa kiume chini ya miaka 12 anakisiwa (presumed) kuwa hana uwezo wa kushiriki ngono.

Sasa huyo wakati wa kutenda kosa alikuwa na miaka 17 maana yake sheria inatambua kwamba ana uwezo wa kutambua ovu na jema mkuu.
 
Back
Top Bottom