Dah nimekumbuka mbali sana hili zao, ni aina ya alzeti ya miba, Mafuta yake yana quality kuliko mafuta ya alizeti.Na pia ukiotesha shambani hii kitu hakuna tembo anaingia, Tembo wanaigopa balaa hio miba.
Kuhusu Mbegu, Wilaya ya Hanangi unaweza pata na kuna part of Dodoma pia ilikuwa inalimwa sana sijui now day, Arusha pia kuna shamba moja niliiona ila ni Wazingu wale.