tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,134
- 280
Nimesikia kwenye vyombo vya habari hasa katika mapitio ya magazeti leo asubuhi kichwa cha habari 'Mbegu za kiume zatumika kwa ushirikina'. Natamani kuifahamu habari hiyo kwa undani kwani inagusa maisha ya jamii moja kwa moja. Mwenye kujua habari hii au link tafadhali atuwekee hapa.Naomba kuwasilisha wakuu!