Mbegu za kiume zatumika kwa ushirikina.

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
280
Nimesikia kwenye vyombo vya habari hasa katika mapitio ya magazeti leo asubuhi kichwa cha habari 'Mbegu za kiume zatumika kwa ushirikina'. Natamani kuifahamu habari hiyo kwa undani kwani inagusa maisha ya jamii moja kwa moja. Mwenye kujua habari hii au link tafadhali atuwekee hapa.Naomba kuwasilisha wakuu!
 
mambo madogo tu hayo nitakuwa na kakitambaa changu standby napotaka kushusha basi nashushia nje,tuone kama wataniroga!
 
Yapo hayo mkuu bt hyo ya mbegu zakiume ndo naiskia kwako leo hii, okey mwenyekujua a2shirikishe
 
condomu kwa kwenda mbele harafu naitumbukiza chooni mwenyewe.mwenyewe nimeisikia kwenye mausingizi.roger
 
Kanunue gazeti usome, sasa unatuuliza sisi kwani ndio publishers wa hilo gazeti
 
Ni kweli kaka....Huko Zimbambwe wataalamu(waganga wa jadi) wanaifahamu hiyo mambo.
Tafuta "The citizen,13/10/2011,pg 34."
 
Kuna memba mmoja amewahi kutoa kisa kilichompata kuhusiana na mbegu za kiume. Kuwa mpenzi wake alizihifadhi katika kondomu na kaziweka chini ya kitanda. Jamaa akitaka mechi za ugenini mashine haisimami, kajaribu zaidi ya viwanja vitatu vya ugenini bila mafanikio. Kuja kugundua kumbe mbegu zilizo kwenye kondomu ndio chanzo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom