Kwa mazingira fulani fulani, GMO ni necessary lakini kwa Tanzania bado hakuna umuhimu mkubwa wa matumizi ya GMO. Vyovyote iwavyo, lengo kuu la GMO ni kuongeza tija/productivity...unit production per every unit of land. Swali la kujiliza hapa ni je, Tanzania hakuna mazingira mengine yanayowezesha kuongeza uzalishaji badala ya matumizi ya GMO?! Wakulima wanapata mavuno kidogo wakati mwingine kutokana na jua....kumbe hapo suluhisho si GMO bali kufanya kilimo cha umwagiliaji!
Wakulima wengine huwa wanapata mavuno haba kwa sababu tu ardhi haina rutuba; kumbe hapo suluhisho si GMO bali matumizi sahihi ya mbolea au kile kinachoitwa good agromechanical activities! Wakati mwingine(kawaida sana hii) wakulima wanapata mavuno haba kwa sababu tu wanalima vishamba vidogo vidogo....kumbe hapo solution wala si GMOs, bali matumizi ya trekta yatakayowawezesha kulima maeneno makubwa!
Wakati mwingine wakulima wanapata mavuno haba kwa ajili tu ya wadudu; kumbe suluhisho hapo wala si matumizi ya GMOs bali matumizi sahihi ya dawa za kuulia wadudu waharibu! Mifano ipo mingi ambayo kwa mazingira ya Tanzania utaona kwamba suluhisho la matatizo yote hayo wala si matumizi ya GMO bali matumizi ya kilimo bora!
Tanzania ni nchi yenye ardhi ya kutosha ambayo wala haijatumika ipasavyo hivyo si sahihi hata kidogo kuona GMO ndio suluhisho la kilimo chetu wakati hata zule njia za kawaida za kilimo salama hatujazitumia! Tanzania kuna source ya kutosha ya maji inayowezesha umwagiliaji na hivyo kuendelea kujikita na kilimo salama na bado tukaongeza uzalishaji maradufu ya sasa pasipo na matumizi ya GMO.
Ingawaje ni kweli pia linapokuja suala la GMO watu huwa wanakuza sana mambo lakini ukweli bado utabaki pale pale kwamba though GMO sometimes is necessary but there's no sufficient condition for country like Tanzania kuamini katika GMO.