Mbegu za GMO ni Siasa Chafu!

Mbegu za GMO ni Siasa Chafu!

Billy the Goat

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
566
Reaction score
353
Katika miaka ya hivi karibuni Watanzania tumekua tukisikia kuhusu swala la kuwekeza katika kilimo ambacho wanasiasa wanakiita "KILIMO CHA KISASA" ambacho kinahusisha utumiaji wa mbegu ambazo ni Genetically Modified. Lakini ni nini hasa maana ya GMO?, Je ni salama kwa kula?.

GMO ni aina ya mbegu na mimea ambayo imebadilishwa vinasaba (genes) katika maabara ili kuboresha aina fulani ya traits au tabia inayohitajika, kwa mfano kuongeza virutubisho, na kuongeza uwezo wa kujikinga na madawa.

Marekani ndio inaongoza kwa utengenezaji wa aina hii ya mbegu zikizambazwa na makampuni kama Monsanto, Syngenta AG, na DOW Chemicals ambazo nyingi tumekua tukiziona nchini. Hatari zitokanazo na aina hii ya mimea ni nyingi kuliko faida, na nchi nyingi duniani tayari zimezuia matumizi ya aina hii ya mbegu ikiwemo Canada, Argentina, Australia, India na Mexico na msimamo wa EU Ukiwa "Zuia GMO".

Nilibahatika kukaa na msomi mmoja wa Chuo Kikuu Cha elimu ya juu cha Nelson Mandela na akanitajia baadhi tu ya athari nyingi zikiwemo; Kuharibu mfumo wa ikolojia, kuharibu ama kubadilisha kabisa virutubisho katika mimea, Kansa, kuharibu rutuba ya ardhi na kusababisha wakulima kua tegemezi wa madawa ya kilimo, kujitokeza kwa magugu ambayo yanajikinga na madawa ya kuua magugu, na hasara kwa wakulima kutokana na ununuzi wa kiasi kikubwa cha madawa.

Faida chache alizonitajia ni pamoja na ongezeko la mimea inatojikinga na wadudu na magonjwa, kuongezeka kwa food supply, na kua na mimea inayostahimili ukame. Pia aliniambia "Hakuna Mwanasayansi duniani ambaye yuko serious atakayetoa support kwa GMO, UNLESS yuko katika payroll ya hayo makampuni", kwa sababu kiuhalisia, ni makampuni ya Biotech ambao ndio watengenezaji na wasambazaji watakaonufaika kutokana na mauzo ya mbegu na madawa!

Swali la kujiuliza; Je ni Watanzania wangapi wanazijua athari zitokanazo na GMO's?, au wengi wetu tumeangalia faida za kiuchumi kuliko athari za kimaziangira na kiafya?. TUAMKE NDUGU ZANGU!!
 
Ndg.kuna wanasayansi wachache wanaolipwa kwenye miradi inayofadhiliwa na hayo makampuni ndo wanaopigia upatu GMO kwa Tanzania mf. Dr. Kulaya amestaafu ARI Mikocheni na Dr. Roshani Abdallah atakuwa amestaafu TPRI Arusha. Kifupi Mh. RAIS amekataa kurithia mpango wa kubadilisha kinachoitwa strictly liability ambacho ni kipengele kilichokuwa kinataka kuwanusuru pro GMO kama madhara yatajitokeza kutokana na GMO. Kifupi GMO kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla haifai
 
GMO ni maafa makubwa. Waziri Mkuu Pinda amewakaribisha Wamarekani kuleta aina hiyo ya kilimo. Huu ni mpango wa kuwaumiza wananchi masikini. Tukiruhusu upuuzi huu lazima kampuni za mbegu ziwe hao hao wakubwa. Hakuna tena kupata mhindi kutokana na mahindi uliyolima, wala kupata chungwa kwa mbegu ya chungwa! Lazima tununue mbegu kwa bei watakazopanga wenyewe. Huu ni unyonyaji mkubwa sana. Tuungane kuikataa GMO kwa nguvu moja!
 
Mkuu weka source ulipo-copy hio habari!! Nakumbuka ipo humu hii habari kitambo sana,thanks kwa kuwakumbusha ambao hawajaipitia,GMO kwangu hapana ushawahi kuona kitungu kama Nazi?
 
Jamani siasa nyingine hazina maana. Hivi ubaua wa GMO UK kwenye vyakula turn kama mahidi? Mbona twatumia mazao ya GMO kwenye Tiba? Madawa kama INSULIN yanazalishwa kwa wingi kwa kutumia GMO, halo kadhalika VACCINE nyingi zinazalishwa kwa kutumia GMO. Kupata mabadiriko ktk kilimo chetu we have to use GMO
 
Mkuu kipengele nilichocopy na kukitafsiri ni hcho cha makampuni yanayosambaza pamoja na nchi zilizozuia matumizi ya GMO na nimetoa WebMD..vingine vyote ni vitu ambavyo nimeviandika kutokana na uelewa wangu pamoja na info kutoka kwa jamaa wa Nelson Mandela University Arusha!
 
Jamani siasa nyingine hazina maana. Hivi ubaua wa GMO UK kwenye vyakula turn kama mahidi? Mbona twatumia mazao ya GMO kwenye Tiba? Madawa kama INSULIN yanazalishwa kwa wingi kwa kutumia GMO, halo kadhalika VACCINE nyingi zinazalishwa kwa kutumia GMO. Kupata mabadiriko ktk kilimo chetu we have to use GMO

Hakuna siasa hata kidogo hapo..mabadiliko katika kilimo suluhisho sio GMO, tutakua ni watu tusiofikiria kama tutakimbilia directly huko. ..bcoz vitu kama ukame kwa asilimia kubwa sana vnachangiwa na shughuli za binadam zinazoharibu mazingira ambazo ndio zngetakiwa kutizamwa kwa upya kwa sababu kukiwa na ufa kwenye ukuta solution rahisi sio kujenga ukuta mpya bali ni kuziba ufa. Pia kuzuia wadudu kwenye mmea suluhisho sio kumodify mmea swala ni kutafuta njia mbadala itakayowaondoa bila kuharibu biological makeup ya mmea bcoz kuna wadudu wengine waoutegemea huo mmea ukiwa kwenye natural form ambao watapata matatizo ukiwa modified na baadae lije kua tatiza la ecology imbalance ambapo na ww pia litakuhusu. Vitu kama insulin na other vaccines havina shida bcoz vnatumika kutoa solution kwa tatizo husika bila kudesrupt other biological funcitions so USIVIFANANISHE NA MBEGU NA MIMEA AMBAYO NI GM.
 
Unaweza kuwa mmoja wapo wa wale waliopo kwenye paylist! Huo ni utashi wako ila kwa walio wengi na kwa masilahi ya vizazi vijavyo no to GMO! Besides ORGANIC AGRICULTURE IS THE ONLY WAY TO FEED THE WORLD BECAUSE OF ITS SUSTAINABILITY BOTH TO THIS GENERATION AND THE FUTURE ONE. PERIOD.
 
Jamani siasa nyingine hazina maana. Hivi ubaua wa GMO UK kwenye vyakula turn kama mahidi? Mbona twatumia mazao ya GMO kwenye Tiba? Madawa kama INSULIN yanazalishwa kwa wingi kwa kutumia GMO, halo kadhalika VACCINE nyingi zinazalishwa kwa kutumia GMO. Kupata mabadiriko ktk kilimo chetu we have to use GMO

Nakubaliana na wewe babayah67 , lakini utambue hizo products ulizozitaja zinatengenezwa katika mazingira yaliyodhibitiwa. Kama mkulima mmoja akitumia GMO pale kijijini kwetu, mfano MAHINDI basi ujue kunahathari za kuleta mchanganyiko wa vinasaba kutoka kwa mahindi yenye GMO na haya yetu ya ASILI. Mahindi huwa yanachavusha kwa njia ya upepo, hivyo hizi pollens zikitoka kwenye haya mahindi yaliyokuwa modified yanaweza kuchavusha mahindi ya mashamba ya jirani and so on. Kwakifupi, bado hatujaweza kujizatiti kufanya kilimo cha GMO ili kisije kikaathiri genetic resources zetu.
 
Last edited by a moderator:
Mbon atayari zimeshazagaa na kuharibu mbegu zetu za asili...kinachofuatia ni kuwaingiza raia line ..ili wanasiasa watengeneze sheria..sheria ndipo itaanza wabana watu kulima mbegu za asili etc ili wanunue za kaina monsanto...jamaa wakuwba kuliko serikali za nchi kubwa kadhaa.
 
Hakuna siasa hata kidogo hapo..mabadiliko katika kilimo suluhisho sio GMO, tutakua ni watu tusiofikiria kama tutakimbilia directly huko. ..bcoz vitu kama ukame kwa asilimia kubwa sana vnachangiwa na shughuli za binadam zinazoharibu mazingira ambazo ndio zngetakiwa kutizamwa kwa upya kwa sababu kukiwa na ufa kwenye ukuta solution rahisi sio kujenga ukuta mpya bali ni kuziba ufa. Pia kuzuia wadudu kwenye mmea suluhisho sio kumodify mmea swala ni kutafuta njia mbadala itakayowaondoa bila kuharibu biological makeup ya mmea bcoz kuna wadudu wengine waoutegemea huo mmea ukiwa kwenye natural form ambao watapata matatizo ukiwa modified na baadae lije kua tatiza la ecology imbalance ambapo na ww pia litakuhusu. Vitu kama insulin na other vaccines havina shida bcoz vnatumika kutoa solution kwa tatizo husika bila kudesrupt other biological funcitions so USIVIFANANISHE NA MBEGU NA MIMEA AMBAYO NI GM.

Nipo katika field inayohusiana na Biotechnologia inayohusiana pamoja na masuala mengine ni hizo GMO. Unayoyaongea nishayasoma Sana toka makala mbalimbali za ANT GMO groups
Hazina ushahidi wa kisayansi. Kumbuka GMO zimetumika. duniani toka miaka ya Inga wa yanga na misaada ya vyakula toka toka USA. He no madhala gani ushayaona? Unachokionesha ni hali ya kawaida ya binadamu kupinga kitu asichokijua "Fear of Unknown" Nakushauri
usiogope a cha sayansi ya GMO Itumike kuwalisha watanzania na Afrika kwa ujumla. Kumbuka GMO target the intended effect aina Unintended effects
 
Mkuu weka source ulipo-copy hio habari!! Nakumbuka ipo humu hii habari kitambo sana,thanks kwa kuwakumbusha ambao hawajaipitia,GMO kwangu hapana ushawahi kuona kitungu kama Nazi?

Buku saba bwana
hii sio habari, Bali kiongozi anatoa maelekezo, usifikiri kila mtu ana copy na kupaste, umesikia??
 
Mbon atayari zimeshazagaa na kuharibu mbegu zetu za asili...kinachofuatia ni kuwaingiza raia line ..ili wanasiasa watengeneze sheria..sheria ndipo itaanza wabana watu kulima mbegu za asili etc ili wanunue za kaina monsanto...jamaa wakuwba kuliko serikali za nchi kubwa kadhaa.

Na hilo la sheria za kuwabana wananchi ndio linalonipa hofu kwa kwel...ila tukiwa na umoja tunaweza kuishinikiza serikali ituokoe na hilo janga mana haya makampuni kiukwel yako vzuri kiuchum
 
Nipo katika field inayohusiana na Biotechnologia inayohusiana pamoja na masuala mengine ni hizo GMO. Unayoyaongea nishayasoma Sana toka makala mbalimbali za ANT GMO groups
Hazina ushahidi wa kisayansi. Kumbuka GMO zimetumika. duniani toka miaka ya Inga wa yanga na misaada ya vyakula toka toka USA. He no madhala gani ushayaona? Unachokionesha ni hali ya kawaida ya binadamu kupinga kitu asichokijua "Fear of Unknown" Nakushauri
usiogope a cha sayansi ya GMO Itumike kuwalisha watanzania na Afrika kwa ujumla. Kumbuka GMO target the intended effect aina Unintended effects

na EU wana fear of the unknown??
 
babayah67 ninawasiwasi kama kweli umeshabobea vizuri kwenye hii fani mpaka unatoa a strong conclusion kama hii. Kwataarifa yako Marekani wanaathirika sana na hili janga la GMO. Pia licha ya kuleta madhara kwenye kuharibu genetic resources za asili, it has been proved scientifically kwamba kuna modifications nyingine zinaleta athari kubwa kwenye miili ya binadamu na viumbe wengine. Unaweza tafuta scientific findings kwenye hili, kama utashindwa kuzipata naweza kukusaidia kukutafutia baadhi. Nami pia nipo eneo hili na ni kweli nimedhibitisha haya niliyoandika hapa.
 
Last edited by a moderator:
Nipo katika field inayohusiana na Biotechnologia inayohusiana pamoja na masuala mengine ni hizo GMO. Unayoyaongea nishayasoma Sana toka makala mbalimbali za ANT GMO groups
Hazina ushahidi wa kisayansi. Kumbuka GMO zimetumika. duniani toka miaka ya Inga wa yanga na misaada ya vyakula toka toka USA. He no madhala gani ushayaona? Unachokionesha ni hali ya kawaida ya binadamu kupinga kitu asichokijua "Fear of Unknown" Nakushauri
usiogope a cha sayansi ya GMO Itumike kuwalisha watanzania na Afrika kwa ujumla. Kumbuka GMO target the intended effect aina Unintended effects

Upo kwenye field gani mtu ambaye uwezi hata jitambua kidogo! Nakuuliza niambie hapo kijijini kwenu ni mkulima gani anaweza kununua mbegu kila msimu wa kilimo kwa kutegemea bei wanayopanga hao unaowatumikia!

Leo mbolea inatolewa kwa ruzuku ya serikali bado ile topup inasumbua wakulima hawawezi kuknuna hiyo mbolea! Nutrients intake ya GMO plants, haiwezi kumfanya mkulima kulima bila kutumia mbolea kitu ambacho leo kinafanyika!

Lete ushaidi wa kisayansi unaoonyesha kuwa GMO inaweza kulisha dunia kama unavyojigamba! GO ORGANIC AND STAY HEALTHIER!
 
Nipo katika field inayohusiana na Biotechnologia inayohusiana pamoja na masuala mengine ni hizo GMO. Unayoyaongea nishayasoma Sana toka makala mbalimbali za ANT GMO groups
Hazina ushahidi wa kisayansi. Kumbuka GMO zimetumika. duniani toka miaka ya Inga wa yanga na misaada ya vyakula toka toka USA. He no madhala gani ushayaona? Unachokionesha ni hali ya kawaida ya binadamu kupinga kitu asichokijua "Fear of Unknown" Nakushauri
usiogope a cha sayansi ya GMO Itumike kuwalisha watanzania na Afrika kwa ujumla. Kumbuka GMO target the intended effect aina Unintended effects

Scepticism towards genetic engineering has been growing steadily throughout the world because of its risks to human beings and the environment. In Europe, growing numbers of farmers and communities are joining forces to declare their land "zones free of genetic engineering". Surveys in Germany have shown that over 70% of consumers reject the idea of genetically engineered food landing on their plates. Naturland considers genetic engineering as a blind alley and categorically rejects the use of this risky technology which makes no contribution whatsoever to sustainability in agriculture. Manipulated seed which is resistant to non-selective herbicides and which the farmer is obliged to buy anew each year leads to new forms of dependence and the disappearance of traditional knowledge. Biodiversity is one of the pillars of site-specifi c organic agriculture. Moreover, a recent survey by the University of Kansas shows that the cultivation of genetically engineered soya actually yields 10% less than conventional soya seed. It is welcome news to learn that the report of the World Food Council does not regard genetic engineering as an opportunity not to be missed, despite the current tense situation of the agricultural markets. It is high time that national governments call a halt to the further expansion of genetic engineering. In Europe, the right position of points have already been set: The commercial production of genetic engineering maize is prohibited until further notice in France, Austria, Hungary, Greece, Luxembourg and Germany.

European Conference on GMO-free Regions, biodiversity & rural development
 
Nipo katika field inayohusiana na Biotechnologia inayohusiana pamoja na masuala mengine ni hizo GMO. Unayoyaongea nishayasoma Sana toka makala mbalimbali za ANT GMO groups
Hazina ushahidi wa kisayansi. Kumbuka GMO zimetumika. duniani toka miaka ya Inga wa yanga na misaada ya vyakula toka toka USA. He no madhala gani ushayaona? Unachokionesha ni hali ya kawaida ya binadamu kupinga kitu asichokijua "Fear of Unknown" Nakushauri
usiogope a cha sayansi ya GMO Itumike kuwalisha watanzania na Afrika kwa ujumla. Kumbuka GMO target the intended effect aina Unintended effects

Unaweza pia ukawa umesoma sana lakini hujasoma kila kitu, Sayansi ni pana sana na ugunduzi na tafiti mbali mbali zinafanyika kila siku so usiseme moja kwa moja kwamba hakuna ushahidi. I do not fear the unknown ila naogopa ukweli ambao naujua..Embu labda nikuulize wewe unaona kuna umuhimu gani wa kutumia Mbegu za GMO over organic ones?.
 
New York (AFP) - The United States is facing an epidemic of herbicide-resistant "superweeds" that some activists and researchers are blaming on GMOs, an accusation rejected by industry giants.

According to a recent study, the situation is such that American farmers are "heading for a crisis."
Many scientists blame overuse of herbicides, prompted by seeds genetically modified to resist them.
"In parts of the country, weeds resistant to the world's most popular herbicide, glyphosate, now grow in the vast majority of soybean, cotton, and corn fields," many of which were planted with seeds resistant to the weedkiller, said the study published in the journal Science in September.
 
Asee we jamaa mkali...embu mpeni facts huyo Babayah67 ili ajue how shallow he is..anahitaji kurudi library akareview facts zake ambazo mpaka sasa tumeshaziverify kwamba ni outdated.
 
Back
Top Bottom