Mbegu ya pinecone yenye siri kubwa na dunia

Mbegu ya pinecone yenye siri kubwa na dunia

Hapa tuna tafakari na kuchambua ndio maana ya elimu.siku zote kutafuta kuchambua tuna baki ni kwa nini.kama tukisema hapa mwisho tutabaki na akili za giza


Uchambuzi wangu ndio huo kwamba; hizo "sifa" ulizoziainisha za hiyo mbegu zitawafanya watu wamsahau Mungu aliyeiumba hiyo mbegu na kuichukua hiyo mbegu badala yake.

Kumbuka kama watu watapotea kuopitia hii thread yako basi wewe mbele ya Mungu utakuwa answerable, ilikupasa utoe tahadhari pia juu ya hiyo mbegu kwani baadhi ya watu ni rahisi sana kupotea/kupotezwa kwani uelewa kati yetu ni tofauti.
 
Back
Top Bottom