Ni jambo la kushangaza sana kukuta kitu fulani kipo kila kona na miaka hiyo ilikuwa si rahisi kufikiana kufanya jambo kwa kuambizana,ila kuna vitu vinaweza kutufikirisha na kushindwa kuchambua labda huko mbele hatakaye tegua kitendawili !
Tuje kwenye mbegu hiyo
Ni aina ya mbengu yenye mfano kama wa nanasi ulivo ila upatikana kwenye miti jamii fulani.
View attachment 1647004
Mbegu hii watafiti wengi wa mambo ya keli utafsiri kama:
Ishara ya mwangaza, uzazi, jicho la tatu, uzima wa milele
Mbegu hizi zilitumika kama ishara ya uzazi kwa Warumi, Wagiriki, Waashuri, na Wakristo. Ubunifu wao huunda mlolongo kamili wa Fibonacci.
Yani muundo wa siri
View attachment 1647006
Huu unajumuisha jinsi kuanzia ,anga ya galaxy,bahari,umbaji wa kiumbe na n.k
View attachment 1647007
Mbegu za pine pia zimehusishwa na Jicho la Tatu, mwangaza.hata Ustaarabu wa zamani ulitumia koni ya pine katika usanifu, uchongaji, na uchoraji.
Hata huko nchi za asia nako Miungu ya Kihindu ina koni za pine mikononi mwao.
View attachment 1647010
Na majengo yake juu imetumika
View attachment 1647011
Tukitazama pengine ambapo Nywele za Shiva zimesukwa na nyoka kwa sura ya koni ya pine.
View attachment 1647012
Kutumia mbegu za pine na nyoka inawakilisha ufahamu wa kiroho.
Mbegu za pine pia zimetumika kuashiria uzima wa milele. Kuna nakshi za Waashuri za sanamu zinazofanana na mungu zilizoshikilia koni za pine juu.
View attachment 1647013
Waashuri pia wanaonyesha koni ya pine kama inayotumika kutia mbolea Mti wa Uzima.
View attachment 1647015
Tumeweza kupata ushaidi mwingi katika mbegu hiyo hata
Sanamu ya mungu wa Mexico inashikilia mananasi na matawi ya miti ya kijani kibichi kila wakati.
View attachment 1647016
Dionysus pia alipenda kutembea na hiyo fimbo yenye pine.
View attachment 1647020
Kuna koni ya pine ya shaba yenye urefu wa futi tatu .
ambayo ilitumika katika Roma ya kale kama chemchemi. Ilikaa katika Pantheon.
View attachment 1647021
Mbegu hii usemekana ni jicho la tatu
View attachment 1647022
Kwa nini wanunaki walikuja na hii na hata dunia nzima kuwa na mbegu
View attachment 1647023
Tujadili wanazengo