Shukrani mkuu. Karibu sanaSafi.
Ati tueleze zaidi, tupande wapi? Kuvuna baada ya muda gani? Ukuzaji upoje?
Muhimu kutangaza na info zaidi haswa humu kwa sababu hatujagi kwa namba kirahisi rahisi...
Uwanja wa maketingi muhimu kwa biashara..
Nashkuru sana kwa maoni yako. Katika suala la mbegu, kuna aina kuu mbili za mbegu ambazo ni hybrid na OPV.Ati tueleze zaidi, tupande wapi? Kuvuna baada ya muda gani? Ukuzaji upoje?
Muhimu kutangaza na info zaidi haswa humu kwa sababu hatujagi kwa namba kirahisi rahisi...
Uwanja wa maketingi muhimu kwa biashara..
Safi sana CocooAti tueleze zaidi, tupande wapi? Kuvuna baada ya muda gani? Ukuzaji upoje?
Muhimu kutangaza na info zaidi haswa humu kwa sababu hatujagi kwa namba kirahisi rahisi...
Uwanja wa maketingi muhimu kwa biashara..
Nashkuru sana kwa maoni yako. Katika suala la mbegu, kuna aina kuu mbili za mbegu ambazo ni hybrid na OPV.
Hybrid ni mbegu iliyoongezewa nguvu kwa kuunganisha genes za mbegu kadhaa tofauti ili kupata mbegu bora zaidi kwa upande wa uzalishaji, na mbegu hii huoteshwa maramoja tu bila kuirudia shambani, pia mbegu hii inafaa kulimwa katika green houses.
OPV ni mbegu ya asili ambayo ina genes za asili na huweza kulimwa popote, pia ni mbegu inayovumilia ukame na magonjwa zaidi kuliko hybrid.
Mbegu zetu ni OPV, hivyo unaweza kuilima mkoa wowote na katika shamba wazi(sio lazima green house) na ikakupa matokeo bora.
Katika upande wa uzaaji pamoja na namna yakulima, hapo kila zao linajitegemea maelezo yake. Hivyo mteja akiwa ana uhitaji wa mbegu flani, ndio tunampatia maelezo yote kuhusu mbegu husika kuanzia namna yakulima, matunzo pamoja na uzaaji wa zao husika.
Karibu sana.
Bwa mdogo hiyo ni biashara hamna cha kuficha hapo weka bei moja kwa zote.Katika upande wa uzaaji pamoja na namna yakulima, hapo kila zao linajitegemea maelezo yake. Hivyo mteja akiwa ana uhitaji wa mbegu flani, ndio tunampatia maelezo yote kuhusu mbegu husika kuanzia namna yakulima, matunzo pamoja na uzaaji wa zao husika.
Karibu sana.
Nashkuru sana, nitafuata ushauri wako ili wadau wengi zaidi wauoneHongera tutakaribia
Endelea kushtua uzi kila baada ya siku kadhaa ukija na mapya au hata picha
Ni kweli bora umnunulie mbegu alime. Nitatuma chart inayoonyesha bei za kila varietyBwa mdogo hiyo ni biashara hamna cha kuficha hapo weka bei moja kwa zote.
Kuna dogo analala tu huko shamba si bora alime bustani.
Nyanya, mchicha,Bamia, na majani ya maboga.
Weka bei hapa
Shukrani sana mkuu. Karibu sana ujipatie mbegu bora za mbogamboga
Kabisa mkuu. Wakulima wote waje wajipatie mbegu bora za mbogambogaCc
Wakulimawote
Hakuna kitu nachopenda kama kulima bustani kwa ajili ya mboga za matumizi ya nyumbani. Siku nikikaa sawa nitawatafuta. Kuna mdau kaulizia mbona hamna maelezo ya ulimaji... Hii ni knowledge anayotakiwa kuwa nayo mkulima. Muuza mbegu anatoa maelezo mafupi sana kuhusu mbegu aina ya mbegu anazouza.Kabisa mkuu. Wakulima wote waje wajipatie mbegu bora za mbogamboga
π πAti tueleze zaidi, tupande wapi? Kuvuna baada ya muda gani? Ukuzaji upoje?
Muhimu kutangaza na info zaidi haswa humu kwa sababu hatujagi kwa namba kirahisi rahisi...
Uwanja wa maketingi muhimu kwa biashara..
Upo sahihi mkuu. Pia kila mbegu ina maelekezo yake tofauti, hivyo mteja akinunua mbegu flani ndio tutampa maelekezo yake. Karibu sana piaHakuna kitu nachopenda kama kulima bustani kwa ajili ya mboga za matumizi ya nyumbani. Siku nikikaa sawa nitawatafuta. Kuna mdau kaulizia mbona hamna maelezo ya ulimaji... Hii ni knowledge anayotakiwa kuwa nayo mkulima. Muuza mbegu anatoa maelezo mafupi sana kuhusu mbegu aina ya mbegu anazouza.
Tuma hizo Γ€t least nayeye achangamke kulima bustani wateja atapata tu..Ni kweli bora umnunulie mbegu alime. Nitatuma chart inayoonyesha bei za kila variety