Hapo kwenye red, namshauri ajiandae 2015 agombee udiwani kata ya mchafukogeMbatia ni mufilisi kiasa (I guess in all wise)! Kama angekuwa na agenda ya maana angepaswa kuzungumzia habari za chama chake na si vyama vingine. Ni mwenyekiti wa kwanza wa chama cha siasa ni recent TZ history aliyegombea ubunge (sio uraisi) na kushindwa je huyo ni kiongozi wa aina gani? No wonder anawashambulia CDM.
yani hadi Uhuru wamechunia hiyo?
basi amekwisha,niliona kwenye Al-nuru kawekwa front page wapongeze
Pumba?? Unataka kutuambia CDM wao huongea busara? Ona mtu kama Tundu Lisu anavyochemka hadharani bungeni, walikwenda Mwanza jamaa hawakujua wanaongea nini. Topiki ni JK tu, hawana jipya. Mbatia, Lipumba wako makiini zaidi linapokuja suala la kushuka nondo. CDM wao wanategemea kuwasakizia watu waandamane tu.kama amesema pumba pia zirushwe hewani?nazani hajaongea lolote la maana yeye na hao wenzake ndo maana haijarushwa kwenye kituo chochote
Vyombo vya habari vya bongo ni vibovu sana. Pale manzese bakharesa palifanyika mkutano wa CUF na mionghoni mwa waalikwa ni mwenyekiti wa NCCR bwana Mbatia. Jamaa alishuka nondo sana na kuibeza chadema kuwa sio chama makini na hakistahili kupewa nchi. Pia aligusia udini uliyofanyika wakati wa uchaguzi na kutahadharisha kuhusu amani ya nchi.
Mbona vyombo vya habari havikutoa hii habari? Bila shaka vyombo vyetu sio professional bali ni politically manipularted and oriented. Sina imani navyo.

Pumba?? Unataka kutuambia CDM wao huongea busara? Ona mtu kama Tundu Lisu anavyochemka hadharani bungeni, walikwenda Mwanza jamaa hawakujua wanaongea nini. Topiki ni JK tu, hawana jipya. Mbatia, Lipumba wako makiini zaidi linapokuja suala la kushuka nondo. CDM wao wanategemea kuwasakizia watu waandamane tu.