MBATIA UMESEMA KWELI kuhusu CDM

charityboy

Senior Member
Nov 11, 2010
138
4
Vyombo vya habari vya bongo ni vibovu sana. Pale manzese bakharesa palifanyika mkutano wa CUF na mionghoni mwa waalikwa ni mwenyekiti wa NCCR bwana Mbatia. Jamaa alishuka nondo sana na kuibeza chadema kuwa sio chama makini na hakistahili kupewa nchi. Pia aligusia udini uliyofanyika wakati wa uchaguzi na kutahadharisha kuhusu amani ya nchi.
Mbona vyombo vya habari havikutoa hii habari? Bila shaka vyombo vyetu sio professional bali ni politically manipularted and oriented. Sina imani navyo.
 
Mh Who is Mbatia by the way? Hivi naye ni mwasiasa ama ni longolongo?? Mwanasiasa gani anaona mpinzani mwenzie ni mbaya kuliko chama tawala? Huyo lazima atakuwa na matatizo na lazima atakuwa ni CCM C kama CUF ilivyo CCM B. Ndo maana wakamualika yeye kwakuwa ni mwenzao. Asikuumize kichwa mbatia sio mwanasiasa, ni mwasi-hasa.:mullet:
 
Ni kweli alisema mambo adhimu na muhimu kwa amani ya nchi hii,
huyu jamaa kiukweli husema mengi yaliyo muhimu kwa nchi, humsikiliza kwa makini japo HUBEZWA SANA. Ikumbukwe...kila mwanaadam ana mapungufu yake, hakuna kiumbe mwanaadam aliyekamilika ABADANI.
 
Vyombo vya habari vya bongo ni vibovu sana. Pale manzese bakharesa palifanyika mkutano wa CUF na mionghoni mwa waalikwa ni mwenyekiti wa NCCR bwana Mbatia. Jamaa alishuka nondo sana na kuibeza chadema kuwa sio chama makini na hakistahili kupewa nchi. Pia aligusia udini uliyofanyika wakati wa uchaguzi na kutahadharisha kuhusu amani ya nchi.
Mbona vyombo vya habari havikutoa hii habari? Bila shaka vyombo vyetu sio professional bali ni politically manipularted and oriented. Sina imani navyo.
kama amesema pumba pia zirushwe hewani?nazani hajaongea lolote la maana yeye na hao wenzake ndo maana haijarushwa kwenye kituo chochote
 
Mbatia ni malaya wa siasa, vyombo vya habari vimemshutukia, kama unafikiri kuponda chadema ndio kuongea kitu cha maana na wewe umepotoka vile vile. If you support a fool ur too a fool.
 
Mbatia ni mufilisi kiasa (I guess in all wise)! Kama angekuwa na agenda ya maana angepaswa kuzungumzia habari za chama chake na si vyama vingine. Ni mwenyekiti wa kwanza wa chama cha siasa ni recent TZ history aliyegombea ubunge (sio uraisi) na kushindwa je huyo ni kiongozi wa aina gani? No wonder anawashambulia CDM.
 
kama amesema pumba pia zirushwe hewani?nazani hajaongea lolote la maana yeye na hao wenzake ndo maana haijarushwa kwenye kituo chochote

Ni pumba za CCM tu ndo huonekana magazetini, kwa vya vya upinzani ni lazima utoe nondoz za uhakika ndo utaonekana, otherwise they were craapz..))
 
yani hadi Uhuru wamechunia hiyo?
basi amekwisha,niliona kwenye Al-nuru kawekwa front page wapongeze
 
Mh Who is Mbatia by the way? Hivi naye ni mwasiasa ama ni longolongo?? Mwanasiasa gani anaona mpinzani mwenzie ni mbaya kuliko chama tawala? Huyo lazima atakuwa na matatizo na lazima atakuwa ni CCM C kama CUF ilivyo CCM B. Ndo maana wakamualika yeye kwakuwa ni mwenzao. Asikuumize kichwa mbatia sio mwanasiasa, ni mwasi-hasa.:mullet:
SI NDO YULE WANASEMA EEEEETI NI boflooo eeti! eeeti! yeye bwabwa!
 
Vyombo vya habari vya bongo ni vibovu sana. Pale manzese bakharesa palifanyika mkutano wa CUF na mionghoni mwa waalikwa ni mwenyekiti wa NCCR bwana Mbatia. Jamaa alishuka nondo sana na kuibeza chadema kuwa sio chama makini na hakistahili kupewa nchi. Pia aligusia udini uliyofanyika wakati wa uchaguzi na kutahadharisha kuhusu amani ya nchi.
Mbona vyombo vya habari havikutoa hii habari? Bila shaka vyombo vyetu sio professional bali ni politically manipularted and oriented. Sina imani navyo.

Hapakuwa na habari ya kuandika.
 
Ama kweli upinzani wa Tanzania upo miongoni mwa vyama vyenyewe vya upinzani.
Mbatia tangu amwagwe na mwanadada HAlima Mdee amekuwa na chuki za wazi kabisa na CHADEMA.
 
Mbatia na Kafulia wa nafikiri kukijenga chama chao ni kuipaka matope CDM............ hakika wamepotea
 
Vyombo vya habari vya bongo ni vibovu sana. Pale manzese bakharesa palifanyika mkutano wa CUF na mionghoni mwa waalikwa ni mwenyekiti wa NCCR bwana Mbatia. Jamaa alishuka nondo sana na kuibeza chadema kuwa sio chama makini na hakistahili kupewa nchi. Pia aligusia udini uliyofanyika wakati wa uchaguzi na kutahadharisha kuhusu amani ya nchi.
Mbona vyombo vya habari havikutoa hii habari? Bila shaka vyombo vyetu sio professional bali ni politically manipularted and oriented. Sina imani navyo.
Huo udini ulio kwenye vichwa vya Mbatia (aliyeshindwa na Mdee) na akina JK hauwezi kuwa habari hata kidogo. Mi Lameck nina rafiki zangu akina Muddy, Muhidini, Aisha etc. Hii mbinu yenu ni ya kijinga, jaribuni nyingine.
 
Mbatia umeongea achana na CDM hagaika na ccm kama kweli sio malaya wa siasa otherwise na wewe niwale ambao wameishiwa point.
 
Mbatia ni malaya wa siasa, vyombo vya habari vimemshutukia, kama unafikiri kuponda chadema ndio kuongea kitu cha maana na wewe umepotoka vile vile. If you support a fool ur too a fool.

Anaichukia kwa kuwa walimnyang'anya jimbo! Shame on him.

In fact, kama cdm haifai kupewa nchi, Mbatia hafai kupewa kata. Peoplessssssss' ........
 
Back
Top Bottom