MBATIA UMESEMA KWELI kuhusu CDM

MBATIA UMESEMA KWELI kuhusu CDM

Our country has too many politicians and too few statesmen. While the statesmen are concerned with the next generation, the politicians are terribly concerned with the next elections


mohhamed...mimi nimependa andiko lako hapo juu
 
Vyombo vya habari vya bongo ni vibovu sana. Pale manzese bakharesa palifanyika mkutano wa CUF na mionghoni mwa waalikwa ni mwenyekiti wa NCCR bwana Mbatia. Jamaa alishuka nondo sana na kuibeza chadema kuwa sio chama makini na hakistahili kupewa nchi. Pia aligusia udini uliyofanyika wakati wa uchaguzi na kutahadharisha kuhusu amani ya nchi.
Mbona vyombo vya habari havikutoa hii habari? Bila shaka vyombo vyetu sio professional bali ni politically manipularted and oriented. Sina imani navyo.

Yaani hata vyombo vya habari vya CCM vilimtosa pia??

Kumbe kweli aliongea PUMBA!!
 
Vyombo vya habari vya bongo ni vibovu sana. Pale manzese bakharesa palifanyika mkutano wa CUF na mionghoni mwa waalikwa ni mwenyekiti wa NCCR bwana Mbatia. Jamaa alishuka nondo sana na kuibeza chadema kuwa sio chama makini na hakistahili kupewa nchi. Pia aligusia udini uliyofanyika wakati wa uchaguzi na kutahadharisha kuhusu amani ya nchi.
Mbona vyombo vya habari havikutoa hii habari? Bila shaka vyombo vyetu sio professional bali ni politically manipularted and oriented. Sina imani navyo.

Mbatia and you are just one of those guys,need we say more?
 
Mbatia ni kama Kikwete tu! Wote siyo wanasiasa na hawahangaikii matatizo ya nchi.
Kama alivyo kikwete wanahangaika na maisha ya familia zao.
 
Vyombo vya habari vya bongo ni vibovu sana. Pale manzese bakharesa palifanyika mkutano wa CUF na mionghoni mwa waalikwa ni mwenyekiti wa NCCR bwana Mbatia. Jamaa alishuka nondo sana na kuibeza chadema kuwa sio chama makini na hakistahili kupewa nchi. Pia aligusia udini uliyofanyika wakati wa uchaguzi na kutahadharisha kuhusu amani ya nchi.
Mbona vyombo vya habari havikutoa hii habari? Bila shaka vyombo vyetu sio professional bali ni politically manipularted and oriented. Sina imani navyo.

Nadhani hamkujua nia ya chjarityboy kutoa mada hii. Alikuwa anahamasisha Mbatia apate kipondo kutoka kwa wanaJF -- na kweli kakipata -- tena cha kisawasawa. Asante charityboy -- endelea kuleta mada za kuhusu wahuni wa kisiasa.
 
Jamaa aliposhindwa jimboni KAWE ilimuuma sana
mnakumbuka alitishia kumpeleka Mdee mahakamani kumshitaki kwa kumchafulia jina,
Kwamba chama chake si cha mageuzi bali .........Manunuzi
sijui alipewa/nunua kitu ngani mpaka aliitwa hivyo
siasa za undumilakuwili hazilipi siku hizi,anapotea hivihivi
 
Vyombo vya habari vya bongo ni vibovu sana. Pale manzese bakharesa palifanyika mkutano wa CUF na mionghoni mwa waalikwa ni mwenyekiti wa NCCR bwana Mbatia. Jamaa alishuka nondo sana na kuibeza chadema kuwa sio chama makini na hakistahili kupewa nchi. Pia aligusia udini uliyofanyika wakati wa uchaguzi na kutahadharisha kuhusu amani ya nchi.
Mbona vyombo vya habari havikutoa hii habari? Bila shaka vyombo vyetu sio professional bali ni politically manipularted and oriented. Sina imani navyo.

Mwaka huu Pro-Government PArties and Opposition Parties zimejipambanua!!!!!
Fuatilia historia ya NCCR na CUF. Angalia uhusiano wao tangu kuanzishwa kwa vyama vingi, UTAPATA jibu ambalo litakufanya ufute hoja zako hapo juu!!!
NAKUPA POLE KWA KUANGALIA LEO PEKEE BADALA YA jANA-LEO- NA KESHO!!
 
Back
Top Bottom