Mbatia LIVE Azam two...

Mbatia LIVE Azam two...

Hiyo sio "live" ni marudio. Huyu mama Tanzania anachosha na hasira zake.
 
naona anabwabwaja tuuuu hana lingine zaidi ya kulalamika uko anamsemea rowasa
 
Huyu bwana hakika ni mtaalam aisee nilikuwa sikuwahi pata nafasi kumsikia nikiwa nimetulia ka mda huu
 
ccm mmemjenga wenyewe mwache akamue -huu ni mtaalam wa majanga .
 
Huyu ameua nccr kwa sababu ya maslahi binafsi NA ya kikanda .naona sasa amekua msemaji wa chadema.
 
Sindano ya mshipa lazima nurse asukume dawa polepole maana akifanya haraka mgonjwa anaweza zimia! Hii ni kristapeni, Haahaaa!
 
Ndo maana jimbon kwake madiwan wa chadema wametangaza kutomuunga mkono kwenye harakat za kampen na Leo wanachama wa vyama vinavyounda ukawa na viongoz wao wapatao 600 wamevihama vyama hvyo mwka huu ukawa itakua ukiwa
 
Back
Top Bottom