Mbatia kidedea NCCR

katibu wa chadema ni mchaga, je makamu mwenyekiti, je unaweza kuniambia nani alikuwa mwenyekiti chadema na alitoka mkoa gani, je unakumbuka katibu wa chadema jabla ya dr slaa .
 
Daaa bora mbatia kaonesha demokrasia kwa vitendo.
 
Mkuu tafadhali andika Kiswahili ama English nitaweza kukusoma vema...Nasikia kivuli cha Mwenye kina madhara kwani waweza kupata Funza wengi miguuni na hata kwenye makalio! Kigoma kuna miembe? tahadhari chukua hatua...
 
chadema wilayani na mikoani wana hasira sana.hela ya ruzuku inaishia makao makuu tu mikoani wameambiwawajitolee chama hakina pesa kweli wajinga ndio waliwao

Mbowe ni Simba pale Chadema na wanachama wengi ni Nyumbu na pundamlia unategemea nini?mbowe anaogopwa sana tena sana hata cc Pia wanamwogopa kupita kiasi Uchaguzi haupo CDM Simba atawatawala Nyumbu milele
 
Mambo yameenda vizuri kwa sababu mshindani hakua na uwezo wa kumshinda,angekua na ushawishi katika chama angeundiwa zengwe kabla ya uchaguzi wenyewe.
 
Inaamana ZZK inabidi asubirie miaka mitano huko, itabidi yeye na kafulila waanzishe mabadiliko 2014 wamtoe Mbatia ama waanzishe Chama chao.

Mkuu Zitto hana subira hiyo! Mpango mkakati wa kuanzisha chama chao kwa msaada wa Green Guard anauratibu Kitila Mkumbo! Nasikia Nyalandu anafungu kutoka USA kwa ajili hiyo...Tuvute subira kidogo...
 
Mkuu tafadhali andika Kiswahili ama English nitaweza kukusoma vema...Nasikia kivuli cha Mwenye kina madhara kwani waweza kupata Funza wengi miguuni na hata kwenye makalio! Kigoma kuna miembe? tahadhari chukua hatua...

Haijalishi neno nililokusudia kukuletea litakuja kwa mandishi gani ninachokijua sasa funza amekung'ata sehemu nyeti Ndio Maana unachachawa nashukulu ujumbe umeupata vyema wewe ni Nyumbu na Mbowe ni Simba Nina Imani unamwogopa sana mbowe
 
Hakuna cha buku 7 wala 8 wala Lumumba kumtuma mtu watu wenyewe siku hizi wameamka watoa mawazo Yao na mitazamo yako kulingana na wanavyoona inafaa

una ubongo wa kuku wewe umejawa na hisia zaidi ya kujenga hoja zenye tija nchi imekaushwa na mijizi ya ccm ambao wote ni wachumia tumbo, leo arusha mmemuhamisha mkurugenzi wa arusha sababu kawabania ten percent mbulula ninyi na mitazamo yenu ya kihafidhina
 
Wana CDM wengi ni Nyumbu kumbuka Mbowe ni Simba sasa jiulize swali ni nani atathubutu kumshinikiza Mbowe aitishe Uchaguzi ? Mbowe atabakia Kuwa M/kiti milele na Milee Nyumbu endeleeeni kuisoma namba
 
Haijalishi neno nililokusudia kukuletea litakuja kwa mandishi gani ninachokijua sasa funza amekung'ata sehemu nyeti Ndio Maana unachachawa nashukulu ujumbe umeupata vyema wewe ni Nyumbu na Mbowe ni Simba Nina Imani unamwogopa sana mbowe
Wakilimbitwaji huwa mnatabia ya kung'ang'ania line moja na kuirudia rudia bila kuchoka... hongera...ILA uzuri ni kuwa CDM ya sasa bila masalia ya wasaliti ni salama kwa maendeleo ya Watanzania...
 
Povu jingi point sifuri. Jibu swali, nani kakulipia nauli?

Kijana why are you writing stupidity things? Who told you that I am Makofila? Are you insane? or difficulties in life make you think and behave this way...

I cannot continuing arguing with a person having simple and soft brain like you.
 
Wakilimbitwaji huwa mnatabia ya kung'ang'ania line moja na kuirudia rudia bila kuchoka... hongera...ILA uzuri ni kuwa CDM ya sasa bila masalia ya wasaliti ni salama kwa maendeleo ya Watanzania...
Usariti upi ? Mbowe anapewa pesa na wana ccm na pesa kazitafuna mwenyewe iweje yeye si msariti ama kweli Nyumbu wapo wengi sana Simba ( Mbowe) atawatawala milele hakuna nyumbu kumsogelea Simba
 
Usultani bado upo tanzania!!!

Ulitaka ashinde nani ndo uweze appreciate?... Tatizo lako ni kujiona kuwa wewe ni bora kwa kila kitu...... Tanzania hatupigi hatua kwa sababu tuna watu wa aina yako wengi......au mlitaka uchaguzi usifanyike to wait ur man(Zitto) to shift into it ili aweze gombea uchair, then muanze mbinu chafu as u did in CDM.....shem on u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…