Mbatia jipime, NCCR Mageuzi inakufia mfukoni

Kwani NCCR ni chama cha kukiongelea!!??? Bila Chadema unafikiri angepata huo ubunge!!?? Hicho chama hakina tofauti na cha DOVUTWA UPDP!!?? hata PPT - MAENDELEO wana unafuu..... Kuongelea NCCR unahitaji kuwa na upungufu Wa akili kidogo...
Kwahiyo wewe huna akili siyo?
 
Chama cha NCCR kilisha kufa kitambo, na tunadubiria maziko yake tu
 
Wapo wanaomsifu kuwa ni kichwa, hamna lolote pale. Chama kimekufa kibudu mikononi mwake, badala ya kuimarisha chama amehamia chadema ya comrade wa anga. Hana lolote.
 
Wapo wanaomsifu kuwa ni kichwa, hamna lolote pale. Chama kimekufa kibudu mikononi mwake, badala ya kuimarisha chama amehamia chadema ya comrade wa anga. Hana lolote.
Mkuu umesema ukwell ila watakuja kukutukana!!
 
Kwanza jiulize
Mbatia anatokea wapi
Mbowe anatokea wapi
Lowasa anatokea wapi
Nk nk nk
Kwahio mnaumiza akili yenu bure
Kuna kaukanda fulani ndani ya hawa watu
Mbona mnimesahau mimi mzee niliezulumiwa jimbo na huyo mbatia,pia natoka huko huko!
 
Mbatia ni mtumishi hewa wa Kijitonyama. Aliingizwa kama kibaraka na Bosi mstaafu wa Kijitonyama anayetoka Mbeya mwenye jina linalotaka kushabihiana na la Dk. Nyamaza wa mjengoni. Wakati huo alikuwa akilipwa Sh. 1,600,000/- kwa mwezi kwa kuleta taarifa za ndani za upinzani. Huo ni 2010 na mzigo alikuwa akienda kuchukua nyumbani kwa mstaafu wa mashushushu huyo Mbezi. Hivyo Mbatia Yuko Ukawa/NCCR kimaslahi zaidi na "kijana mpendwa" wa Serikali iliyoko madarakani. Zipo taarifa (sijazithibitisha) kuwa ameongezewa mzigo kukimaliza Ukawa nguvu. Hoja ya kutoonesha Bunge live alitoa yeye kuwa ndio iliwapa umaarufu upinzani na kwamba alimwambia Msoga lakini JK alikataa ushauri huo. Mbatia ni mamluki.
SI KWELI ACHA UMBEA UNA UHAKIKA
 
Nilishangaa sana kwenye uchaguzi uliopita yaani mbatia anakuja kwa media kuisemea chadema??
Daaaah,,,,,
Mbatiya ni kabila gani. Yeye anapigania kanda na dini ya kwao hapiganii haki ya Mtanzania wa kawaida. Siku ya ukawa kuzinduliwa Jangwani alihitimisha kwa kuimba tenzi za rohoni badala ya kibwagizo cha NCCR au ukawa. Wakiwa na Lowassa Tabora wakasema wanataka rais mluteri. Haoni NCCR kama ni mno. Hawajui kina kafulila - hao si watu wake yeye anaangalia big picture ya kanda yake. Bomu huyu.
 
Back
Top Bottom