Mbatia jipime, NCCR Mageuzi inakufia mfukoni

NCCR ni kama haipo inapumulia mwavuli wa UKAWA ambayo maisha yake yanategemea uhusiano kati ya Chadema na CUF ambavyo pia uhusiano wao ni wa kuliana timing. Shortly upinzani Bongo maigizo tu.
Ha ha ha wanaliana "timing" kama kumchinja kobe vile!
 
1)Hajulikani sio Ajulikani
2)Hamulikwi sio Amlikwi
3)Hakihangaiki sio Akiangaiki
4)Kuhangaika sio Kuangaika
5)Huzuni sio Uzuni
6) Muondoeni sio Mwondoeni
7)Mamluki sio mamuluki
8)Haiwezekani sio aiwezekani
9)Kung'ata sio Kungata

Inabidi nikusaidie tu FaizaFoxy ..... Lugha inaharibika sana.....
USIPOTEZE MADA UJUMBE UNAELEWEKA
 
Mbatia ni mtumishi hewa wa Kijitonyama. Aliingizwa kama kibaraka na Bosi mstaafu wa Kijitonyama anayetoka Mbeya mwenye jina linalotaka kushabihiana na la Dk. Nyamaza wa mjengoni. Wakati huo alikuwa akilipwa Sh. 1,600,000/- kwa mwezi kwa kuleta taarifa za ndani za upinzani. Huo ni 2010 na mzigo alikuwa akienda kuchukua nyumbani kwa mstaafu wa mashushushu huyo Mbezi. Hivyo Mbatia Yuko Ukawa/NCCR kimaslahi zaidi na "kijana mpendwa" wa Serikali iliyoko madarakani. Zipo taarifa (sijazithibitisha) kuwa ameongezewa mzigo kukimaliza Ukawa nguvu. Hoja ya kutoonesha Bunge live alitoa yeye kuwa ndio iliwapa umaarufu upinzani na kwamba alimwambia Msoga lakini JK alikataa ushauri huo. Mbatia ni mamluki.
Nilikuja na Uzi hapa siku moja nikianika mambo yake yote aukumaliza 3minutes wakautoa bila mi mbatia namjua ipasavyo !!
 
USIPOTEZE MADA UJUMBE UNAELEWEKA
Kwani NCCR ni chama cha kukiongelea!!??? Bila Chadema unafikiri angepata huo ubunge!!?? Hicho chama hakina tofauti na cha DOVUTWA UPDP!!?? hata PPT - MAENDELEO wana unafuu..... Kuongelea NCCR unahitaji kuwa na upungufu Wa akili kidogo...
 
Leta Uzi wa bandari tujadili
Gharama za kujadili mambo ya bandari kwenye uzi huu nitalipa mimi. Tujadili hapa, au utahitaji risiti ya EFD?

Mawakala pale bandarini wanasema VAT inayotozwa kwenye auxiliary services itawaweka benchi madereva wa malori wengi na kampuni za usafirishaji zitakwama. Vipi hapo?
 
Tanzania ni muhimu zaidi kwake kuliko chama cha NCCR. Huyu ni mbunge sio wa VUNJO bali wa Tanzania. Anakutetea hata wewe usiyejua kuwa una haki ya kuishi kwa kutumia akili na utashi wako na sio woga wa 'ndio mzee'.

Achana na Mbatia, bandari inaelekea pabaya...tuache unafiki, tumwambie ukweli mhusika VAT isiifanye Mzinga Creek kuishia kuwa kama Bandari ya Tanga. Mzaha mzaha tutafikia sehemu zitakuwa zinatia nanga boti za uvuvi za HP50 huku tunajitekenya na kucheka wenyewe.

Anzisha uzi wa Bandari
 
Gharama za kujadili mambo ya bandari kwenye uzi huu nitalipa mimi. Tujadili hapa, au utahitaji risiti ya EFD?

Mawakala pale bandarini wanasema VAT inayotozwa kwenye auxiliary services itawaweka benchi madereva wa malori wengi na kampuni za usafirishaji zitakwama. Vipi hapo?
Nisawa but kila kitukinaweza wekwa sawa mwaka wa pila wa budget sasa hivi lazima tense hivyo hivyo
 
Nisawa but kila kitukinaweza wekwa sawa mwaka wa pila wa budget sasa hivi lazima tense hivyo hivyo
Safi. Tuendelee kujadili watu badala ya kuambizana ukweli.

Mwaka wa pili unaweza kutukuta disturbed na tayari out of track. Wenye kampuni zao za usafirishaji wanahamishia mitaji kwa majirani maana itaonekana sasa ni rahisi kuoperate kutokea Rwanda. Kuna mambo ya kujaribu
 
Uchumi wa nchi siwezi tegemea bandari tu import Bali inabidi twende mbali zaidi kutengeneza bidhaa zatu tu export
Alafu tuwe na vyanzo vingine vya utalii!!!
 
siku zote tujawaambia watu kutoka kaskazini sio viongozi, mnaishia kutukana watu leo NCCR ndio hiyo imekufa mwaka 2020 chadema nayo itakufa
 
Mimi huwa nakuwa na wasiwasi sana na hawa viongozi wa vyama vya upinzani. aidha wanatishiwa na dola au wametumwa na dola kuonyesha tu kuwa kuan upinzani hapa nchini. Mbatia ni mtu wa data kwa aliyezungumzia mambo ya bandari alitaka asikie upinzani kupitia Mbatia unasemaje?
 
Back
Top Bottom