Mbatia jipime, NCCR Mageuzi inakufia mfukoni

Huwezi kuipeleka taasisi mbali zaidi ya uwezo wako wa kuongoza. Uwezo wa Mbatia umeishia hapo. NCCR iko kwenye comma, wasipomtoa na kumtafuta mtu mahiri, itakata roho ifikapo 2020.

Likewise Chadema, najua ukimkosoa Mbowe humu JF unatukanwa, lakini ukweli ni kwamba amefanya makosa makubwa sana. Uwezo wa Mbowe umefikia ukomo ila wanachama hawaoni na yeye mwenyewe hajui. Chama kinaporomoka, mabadiliko yasipofanyika sasa hakitakuwa tofauti na NCCR, TLP na CUF ambavyo vimewahi kuwa vyama vikuu vya upinzani na sasa vimekufa(TLP), viko kwenye comma(NCCR) na kingine kina Kwashiorkor(CUF).
 
Upo sahii mkuu asante
 
Mbatiya ni kabila gani. Yeye anapigania kanda na dini ya kwao hapiganii haki ya Mtanzania wa kawaida. Siku ya ukawa kuzinduliwa Jangwani alihitimisha kwa kuimba tenzi za rohoni badala ya kibwagizo cha NCCR au ukawa. Wakiwa na Lowassa Tabora wakasema wanataka rais mluteri. Haoni NCCR kama ni mno. Hawajui kina kafulila - hao si watu wake yeye anaangalia big picture ya kanda yake. Bomu huyu.
Duu mkuu uogopi??
 
64462783589a8420476544382325db8b.jpg

Hivi kweli wanabodi James mbatia kwanini anakiua NCCR mageuzi chama chenye historia kubwa kuliko vyama vyote vya upinzani ?

NCCR ya mwaka 1995 na hii nini tofauti sana !!

NCCR ya one man show??
Watu hawana hoja?
Katibu mkuu ajulikani yuko wapi??
Vipaji vya watu kama kafulila vinapotezwa tatizo ni nini??

Au wewe ni mamluki kama inavyodaiwa ??
Wanachama wa NCCR amkeni mbatia anakiua chama!
Yaani leo NCCR imekuwa kama ACT wazalendo??
Huyu anasema lake yule anasema lake ??

Niwakumbushe tu Wanachama wa NCCRmlifanya makosa makubwa kumpa huyu chama anatia mashaka!! Kwanini uwa amlikwi huyu mtu kama ni mpinzani jiulizeni kwanini chama tawala uwa akiangaiki naye ??
Kila siku kuangaika na wakina mbowe??
Nina uhakika mbatia anakihujumu NCCR!!!

Watu tukisema ukweli tunaonekana Lumumba!!
Kiukweli ni uzuni kwa chama kuwa na mwenyekiti type ya mbatia !!!
Mwondoeni mbatia chama hicho kipumue!!!

Niwaambie tu ukweli mchungu Mimi ni mmoja ya watu wanaoupenda upinzani lakini kwa hili la mbatia siwezi kungata meno huyu ni mamuluki aiwezekani chama kikose hata wabunge bungeni!!!
mbatia anafukuzia hela tu. tangu el kwenda cdm anajipendekeza huko. bahati mbaya mwenzake ndio kapewa mshiko yeye sijui kama kaambulia nini. anaongea kama mchungaji na kupenda kuimbisha nyimbo za kanisani kwenye mikutano ya kisiasa. naona ingekua bora aende kwenye utumishi wa bwana maana siasa hawezi.
 
Back
Top Bottom