technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,441
- 50,755
Hivi kweli wanabodi James mbatia kwanini anakiua NCCR mageuzi chama chenye historia kubwa kuliko vyama vyote vya upinzani ?
NCCR ya mwaka 1995 imepotelea wapi?
NCCR ya one man show??Katibu mkuu ajulikani yuko wapi??
Vipaji vya watu kama kafulila vinapotezwa tatizo ni nini??
Au wewe ni mamluki kama inavyodaiwa ??
Wanachama wa NCCR amkeni mbatia anakiua chama!
Yaani leo NCCR imekuwa kama ACT wazalendo??
Huyu anasema lake yule anasema lake ??
Niwakumbushe tu Wanachama wa NCCRmlifanya makosa makubwa kumpa huyu chama anatia mashaka!! Kwanini uwa amlikwi huyu mtu kama ni mpinzani jiulizeni kwanini chama tawala uwa akiangaiki naye ??
Kila siku kuangaika na wakina mbowe??
Nina uhakika mbatia anakihujumu NCCR!!!
Watu tukisema ukweli tunaonekana wabaya!!
Kiukweli ni aibu kwa chama kuwa na mwenyekiti type ya mbatia !!!
Mwondoeni mbatia chama hicho kipumue!!!
Niwaambie