chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,961
huyu jamaa anamatatizo ya kisaikolojia, kwanza alianza kumsumbua halima mdee kwa kumfungulia kesi zisizokuwa na kichwa wala miguu hadi JK akaingilia kati ka kumpatia ubunge wa viti maalum, sasa kaanza kumshambulia Dr.Tulia bila sababu yeyote, ila nakumbuka lyatonga alishawahi kusema huyu jamaa kichwani haziko sawa na anahitaji kupimwa. Yeye muda wote ni hasira tu na wanawake hata mifano yake utasikia akisema "tanzania mama yetu"Kwa hiyo ukimchukia mkeo unachukia na watoto? Wananchi wamekutuma bungeni uwawakilishe, wewe hasira zako kwa naibu spika unatuletea sisi,? Kweli Dr slaa alikuwa kichwa
Hahahahah daa et jamaa ana hasira na kina mama .unamanisha nn labdahuyu jamaa anamatatizo ya kisaikolojia, kwanza alianza kumsumbua halima mdee kwa kumfungulia kesi zisizokuwa na kichwa wala miguu hadi JK akaingilia kati ka kumpatia ubunge wa viti maalum, sasa kaanza kumshambulia Dr.Tulia bila sababu yeyote, ila nakumbuka lyatonga alishawahi kusema huyu jamaa kichwani haziko sawa na anahitaji kupimwa. Yeye muda wote ni hasira tu na wanawake hata mifano yake utasikia akisema "tanzania mama yetu"
Aisee nimecheka sana, binadamu mnajua kufikiri.huyu jamaa anamatatizo ya kisaikolojia, kwanza alianza kumsumbua halima mdee kwa kumfungulia kesi zisizokuwa na kichwa wala miguu hadi JK akaingilia kati ka kumpatia ubunge wa viti maalum, sasa kaanza kumshambulia Dr.Tulia bila sababu yeyote, ila nakumbuka lyatonga alishawahi kusema huyu jamaa kichwani haziko sawa na anahitaji kupimwa. Yeye muda wote ni hasira tu na wanawake hata mifano yake utasikia akisema "tanzania mama yetu"
Unapandisha nyongo bure.wivu umekutawalaMbunge wa Vunjo James Mbatia amesema wao hawajasusia bunge ila wana hasira na mtu ambaye hata jina lake hawezi kulitaja, na huwa wanaingia akiwepo mwenyekiti mwingine wa bunge na wanashiriki kwenye kamati.
Pia amesema wazanzibar walishapiga kura wakitaka waongozwe na serikali ya umoja wa kitaifa na wanaolaumu chama cha wananchi CUF kwa kinachoendelea Zanzibar hawafikirii vizuri
Hahahaha. Mkuu unaweza kufafanua kidogo unaposema ana hasira na wanawake.huyu jamaa anamatatizo ya kisaikolojia, kwanza alianza kumsumbua halima mdee kwa kumfungulia kesi zisizokuwa na kichwa wala miguu hadi JK akaingilia kati ka kumpatia ubunge wa viti maalum, sasa kaanza kumshambulia Dr.Tulia bila sababu yeyote, ila nakumbuka lyatonga alishawahi kusema huyu jamaa kichwani haziko sawa na anahitaji kupimwa. Yeye muda wote ni hasira tu na wanawake hata mifano yake utasikia akisema "tanzania mama yetu"
Mkuu kumbe na wewe umecheka kama mimi? Mimi mbavu sina.Aisee nimecheka sana, binadamu mnajua kufikiri.
Ni chuki binasfi sio utendaji wake NS kwa mtazamo wa harakaLeo mnamchukia NS lakin baadaye mtamuelewa tu tena awe na msimamo hivyohivyo asichezewe na mtu yoyote ili mladi tu asivunje sheria.