kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,448
Imekuwaje ww unasimu huko gerezani si ulikamatwa pamoja na mwekezaji wa shamba la banghi!Wewe mwenyewe unakesha humu mitandaoni sababu ya njaa tu
In God we Trust
Imekuwaje ww unasimu huko gerezani si ulikamatwa pamoja na mwekezaji wa shamba la banghi!Wewe mwenyewe unakesha humu mitandaoni sababu ya njaa tu
In God we Trust
Bila ya kuwa habari usingechangia kibaka wewe kwenye mbasi ya mwendekasi!Kwahiyo kwako hiyo ni habari?
In God we Trust
Hata mimi sio mwanasiasa ila kuna vitu napenda,mtu akitenda tofauti nakwazika naye!So unapoamua kuwa na role modal mwanasiasa na hasa Tanzania,inatia mashaka sana!Maslahi yapi? Kwani me ni mwanasiasa
We jamaa ni mgumu kuelewa mwalimu wako inaonekana alipata shida Sana kukufundisha.Wapi nimesema Mbatia ni role model wangu au Mwanasiasa yoyote?Hata mimi sio mwanasiasa ila kuna vitu napenda,mtu akitenda tofauti nakwazika naye!So unapoamua kuwa na role modal mwanasiasa na hasa Tanzania,inatia mashaka sana!
Naona umenitukana bure wakati hapa unaonesha admiration yako kwa Mbatia!Kwa kumkubali sana kwako huko ndio nikasema kuwa siku akisema tofauti na ulichotarajia,utakuwa na mtizamo hasi juu yake!Kwenye upinzani namkubali Sana mbatia pekee ana sifa zote za uongozi na pia sio mtu mnafiki kwenye nyeupe ni nyeupe na Kwenye nyeusi ni nyeusi
Utasema CCM haipati ruzuku ukiwasikia wanavyoitolea machi mil 200 ya CDM!
Bila ya kuwa habari usingechangia kibaka wewe kwenye mbasi ya mwendekasi!
Mkuu umeuliza swali la msingi sana!
Ingekuwa ni 'audio' umeiweka hapa tukamsikia mwenyewe akiyasema hayo tungeamini.Akiongea na vyombo vya habari na taarifa ya habari ya ITV Mbatia katofautiana na wenzie wanao Lia Lia katiba mpya Sijui na tume huru
Huu ndio ushahidi wako kwa mara ya juzi ulipokuwa kwenye hii shughuli yako walaumu jamaa zako wa karibu walionitupia hii picha wamechoshwa na vitendo vyako!Kila asifuye mvua basi jua kuwa imemnyea.
Hivyo unaonekana wewe ni kibaka mzoefu sana.
Nahapo naona unamlia timing huyo jamaa mbele yako kusudi umipige ndole kanauri kake masikini. View attachment 1356691
In God we Trust
Umevurugwa wewe kibakaHuu ndio ushahidi wako kwa mara ya juzi ulipokuwa kwenye hii shughuli yako walaumu jamaa zako wa karibu walionitupia hii picha wamechoshwa na vitendo vyako!View attachment 1356833
Akiongea na vyombo vya habari na taarifa ya habari ya ITV Mbatia katofautiana na wenzie wanao Lia Lia katiba mpya Sijui na tume huru
Yeye kasema NCCR itashiriki na haiungani na wengine wanaopinga Na imejipanga kuweka wagombea nchi nzima
Ikumbukwe kuwa yeye ndie makamu mwenyekiti wa UKAWA Ina maana UKAWA umekufa sababu Walikuwa wakiachiana maeneo nk.
Sasa kila.mtu kivyake Hakuna tamko la UKAWA la pamoja Tena
Huyu anasema tume huru Kwanza huyu anasema tutagombea
Wameshaanza kugawana fito
mwenye nyumba hataki ndo maana wanasema tume siyo huru
Hivi, ni kiongozi gani wa vyama vya upinzani aliyesema kuwa vyama hivyo havitashiriki uchaguzi mkuu? Mtaje mmoja tu! Hakuna! Sasa mh Mbatia anatofautianaje na hao viongozi katka swala hili la uchaguzi mkuu?Akiongea na vyombo vya habari na taarifa ya habari ya ITV Mbatia katofautiana na wenzie wanao Lia Lia katiba mpya Sijui na tume huru
Yeye kasema NCCR itashiriki na haiungani na wengine wanaopinga Na imejipanga kuweka wagombea nchi nzima
Ikumbukwe kuwa yeye ndie makamu mwenyekiti wa UKAWA Ina maana UKAWA umekufa sababu Walikuwa wakiachiana maeneo nk.
Sasa kila.mtu kivyake Hakuna tamko la UKAWA la pamoja Tena
Huyu anasema tume huru Kwanza huyu anasema tutagombea
Wameshaanza kugawana fito
Kiongozi bora huwa anajipambanua kwa kauli na vitendo sio wale wengine nyama sili mchuzi nakunywa wamesusia Tamisemi wanataka uchaguzi mkuu njaa ya ruzuku haikuwahi kumuacha mtu!