Mbatia asema NCCR lazima watashiriki Uchaguzi Mkuu

Akiongea na vyombo vya habari na taarifa ya habari ya ITV Mbatia katofautiana na wenzie wanao Lia Lia katiba mpya Sijui na tume huru

Yeye kasema NCCR itashiriki na haiungani na wengine wanaopinga Na imejipanga kuweka wagombea nchi nzima

Ikumbukwe kuwa yeye ndie makamu mwenyekiti wa UKAWA Ina maana UKAWA umekufa sababu Walikuwa wakiachiana maeneo nk.

Sasa kila.mtu kivyake Hakuna tamko la UKAWA la pamoja Tena
Huyu anasema tume huru Kwanza huyu anasema tutagombea
Wameshaanza kugawana fito

Vyama vyama siasa vinapaswa kuwekeza zaidi kwenye umoja kuliko utengano.

UKAWA ilikuwa ni hatua njema.

Vyama vyama siasa vingekuja na mikakati zaidi ya kushirikiana na kuvumiliana kuliko hii ya kuweka wagombea lukuki.

Kuvumiliana ni muhimu. Kama katika ndoa na hata familia matatizo huwepo sembuse katika vyama au mashirikiano ya kisiasa?

Muhimu kumtambua common enemy na kupambana naye perpendicularly.
 
Akiongea na vyombo vya habari na taarifa ya habari ya ITV Mbatia katofautiana na wenzie wanao Lia Lia katiba mpya Sijui na tume huru

Yeye kasema NCCR itashiriki na haiungani na wengine wanaopinga Na imejipanga kuweka wagombea nchi nzima

Ikumbukwe kuwa yeye ndie makamu mwenyekiti wa UKAWA Ina maana UKAWA umekufa sababu Walikuwa wakiachiana maeneo nk.

Sasa kila.mtu kivyake Hakuna tamko la UKAWA la pamoja Tena
Huyu anasema tume huru Kwanza huyu anasema tutagombea
Wameshaanza kugawana fito
Utakuja kushangaa hapo baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom