Jana nilileta uzi kwamba kuna kura zilikutwa kwa mlinzi wa kanisa la KKKT Himo akiwa na karatasi za kura ambazo zilikuwa zimeshapigwa kwa James Mbatia.
Jambo hilo limechukua sura mpya leo baada ya msimamizi wa uchaguzi jimbo la Vunjo kumwandikia barua mgombea ubunge James Mbatia, kwa Nini anasambaza nyaraka hizo za tume ya uchaguzi bila idhini ya tume na ameenda kinyume na maadili.
Amepewa masaa 24 ya kujieleza.