Pro Magufuli Wa 47
Senior Member
- Mar 5, 2016
- 188
- 58
Mwaka 2012 Watanzania tulishuhudia mgomo mkubwa wa Madaktar kushinikiza Serikali iwalipe mishahara mikubwa na kuwaonyesha Watanzania nguvu kubwa waliyonayo dhidi ya Serikali.
Mgomo huo uliendeshwa kikatili sana na kuleta usumbufu, Mateso yasiyoelezeka na vifo vingi kwa Watanzania wenzetu hasa kina Mama na Watoto.
Serikali wakati huo kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama walikuwa wakihusisha Mgomo huo na Siasa hasa CHADEMA na baadhi ya Makada wa CCM, lakini wengi wetu tuliona kama mbinu ya Serikali kujitetea tu kwa kusingizia CHADEMA na kuukimbia ukweli.
KWA UTEUZI HUU WA Dr MASHINJI, SASA NI WAZI KUWA CHADEMA/Team Lowassa WALIKUWA NYUMA NA CHANZO cha MGOMO WA MADAKTARI.
Madaktali walitumika pasipo kujijua kwa kuingizwa kwenye Mgomo ambao uliowashushia hadhi yao kwa jamii na viongozi wao wachache ambao ni Makada wa CHADEMA na vibaraka wa kundi la walafi wa madaraka ndani ya CCM.
Hongera Dr MASHINJI, pia pole kwa kujivua Mask na kutuonyesha wazi wewe ni nani haswaa!
Nakupa pole zaidi kwa kujiingiza katika siasa kwenye chama cha walioshindwa, vigeugeu, Ma-fisadi.
Siku zote ukumbuke kuwa ujachaguliwa kwa CV yako, ila kwa record yako mbaya ya kuendesha Migomo hivyo jiandae, Pili unatumika tu hawanaga shukrani hao.