Mbatia aiteka Vunjo

Mbatia aiteka Vunjo

Mbona anatumia gari yenye plate number ya East African Community na huku ikiwa na bendera ya NCCR,je inaruhusiwa gari ya EAC kuwa na bendera ya chama na kutumika kichama?yeye mbatia ana cheo gani EAC hadi kupewa gari hiyo?
 
Leo nimesikia redioni kuwa Mrema ali withdraw ile kesi[clouds 360 leo asubuhi]
 
Uzi wa 2014 mnaifufua wa nini?
Huyu keshaua chama! Tamaa ya madaraka imemponza.
 
Back
Top Bottom