Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 61,605
- 74,433
LENGO Kuu Ni Kuunga Juhudi,πππππππππππ si Bora aunge juhudi tu
LENGO Kuu Ni Kuunga Juhudi,πππππππππππ si Bora aunge juhudi tu
Wewe ndiye urudie kusoma post # 9 halafu na ulicho quote ni mbingu na ardhi.Umekuja mbio sana, ila ungeanza kusoma nilipo mquote hugo mtu.
Alisema ni aibu,
nikamuuliza aibu kushinda kesi?,
Akajibu msajili anahusika.
Mitazamo yetu ilikuwa tofauti, mimi naongelea alieshinda kesi kumbe yeye anamuongelea alieshindwa kesi.
ππππππHeading ilitakiwa kusomeka
"Mbatia amshinda msajili wa vyama vya siasa"
Sijui nn haelewi...maelezo ya kesi kama ndo yakivyo hapo yapo wazi sana....kila walichofanya kwa Mbatia ni batili....hvyo wampe uenyekiti wake na msajili amtambue....ila msajili mtu wa hovyo sanaIla akili mali.
Sasa mlitumia hoja ya uanachama ni wa 92 kumuengua.
Mahakama inakuambia hoja uliyotumia kumuengua haina mashiko kwakua hata katiba yenu ni ya 92.
Tuassume, ni kweli akili yako inakuambia mahakama imesema kinachobatilisha kumuengua ni kutomsikiliza. Hii haimaanishi kwamba sasa rudini mkamsikilize.
Inamaanisha kila mlichoamua kutokana na kutomsikiliza ni batili na hakifanyi kazi.
Haimaanishi sasa rudini mkamsikilize.
Ni kama askari akamate mtu bila kumwambia haki zake za msingi. Huyu mtu akifika mahakamani ikathibitika hakuambiwa haki zake za msingi tendo zima la kumkamata linakua kinyume na sheria hivyo ataachiliwa huru. Haitasemwa kwamba sasa rudini pale pa siku ile ili ukamwambie haki zake.
Ila Tz π