CotterPin
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,398
- 5,006
Aibu kivipi ndugu. Kushinda kesi ni aibu?Aibu nyingine hii kwa Msajili wa vyama.
Aibu kivipi ndugu. Kushinda kesi ni aibu?Aibu nyingine hii kwa Msajili wa vyama.
Kiendacho kwa mchaga hakirudi.Kwahiyo hela ambazo Joseph Selasini alizopewa na Samia itakuwaje?
Ndiyo mkuu, zimeliwa.Ahaaaaa !!!!!!!!
Msajili ndiye aliyechochea na kubariki mapinduzi hayo, au bado hujaelewa somo tu?Aibu kivipi ndugu. Kushinda kesi ni aibu?
Utashangaa sana mwaka huu, sasa kama msajili alikuwa upande wa NCCR na iliyoshindwa ni NCCR bado hujaelewa tu.Masajili anahusikaje na mahakama?
Unakumbuka James aliilalamika kwa Msajili wa vyama kuwa amebariki mkutano uliomvua uanachama? Msajili alikuwa upande wa NCCR ndio kisa cha Mbatia kwenda mahakamani.
Sasa unaposema msajili ndie kachochea nakushangaa.
Mbona hueleweki wala husomeki??!Masajili anahusikaje na mahakama?
Unakumbuka James aliilalamika kwa Msajili wa vyama kuwa amebariki mkutano uliomvua uanachama? Msajili alikuwa upande wa NCCR ndio kisa cha Mbatia kwenda mahakamani.
Sasa unaposema msajili ndie kachochea nakushangaa.
NADHANI USHAURI WANGU MMEUONA HAPA jf!Mutungi hajawahi kuwa na aibu
Kama hujaelewa uliza.
Sasa hukumumu ya leo nani ameshindwa? Na wapi nimeitaja CDM hapo?Unachoongea ni uzushi, either unajua au hujui.
Unalinganisha issue ya Cdm na ya NCCR ni vitu viwili tofauti. Ishu ya mbatia msajiki alikuwa uoande wa chama.
Ana ubishi kama wa Simba na Yanga yaani mtu anabisha ili mradi abishane tu.
Inabidi amkabidhi Mama Tz.Kwahiyo hela ambazo Joseph Selasini alizopewa na Samia itakuwaje?
Una uhakika na ulichoandika?Masajili anahusikaje na mahakama?
Unakumbuka James aliilalamika kwa Msajili wa vyama kuwa amebariki mkutano uliomvua uanachama? Msajili alikuwa upande wa NCCR ndio kisa cha Mbatia kwenda mahakamani.
Sasa unaposema msajili ndie kachochea nakushangaa.
Mbatia alimlalamikia nani kwamba ^amebariki mkutano uliomvua uanachama^?Kama hujaelewa uliza.
Angoja ale pesa ya NCCR naziona ziko nje nje,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 si Bora aunge juhudi tu